Ngamba
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 750
- 151
Nami pia napenda kupata kopy ya hicho kitabu, ni pm
Davy
Davy
Habari yako mkuu,
Tafadhali ninaomba uni-PM kitabu cha ufugaji wa kuku wa kienyeji maana mie nae ni mfugaji ila napata changamoto sana juu ya hili
Nashukuru sana na ubarikiwe...