Ufugaji wa kuku wa kisasa

Ufugaji wa kuku wa kisasa

kwalele

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
36
Reaction score
15
Kwa anayefahamu kuhusu gharama za kununua kifaranga wa kuku wa kisasa ktka jiji la dar na aina za madawa ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa vifaranga hao na makadilio ya gharama ya madawa hayo please naomba anieleweshe,natanguliza shukrani kwa wana jukwaa:yell::yell:
 
Sometimes, tujifunze kuandaa pia pesa za gharama za consultancy, ili kuwaona wataalam pasipo kuegemea pekee source free za ushauri na maelekezo. Sipingi ila najua sio kila ushauri unaotolewa humu una vigezo bora vya kiushauri. Take it brother!
 
Nimekuxoma mkuu,bt lengo kuu ilikua ni kupata mawazo tofauti ambayo ninaweza kuyakusanya pa1 na kupata tathmni sahihi kabla ya kuingia kwnye soko.naamini free source za ushauri pa1 na kua na mapungufu bt nynginezo zinaweza kua sahihi ambazo nikichanganya na maelezo ya mtaalamu na akili yangu pia naweza fanya ki2 bora zaidi
 
Back
Top Bottom