H hhsmakwato Member Joined Mar 19, 2015 Posts 97 Reaction score 51 Aug 13, 2015 #1 Wanajamvi naomba msaada kwenu.... Nategemea kupata kuku wa nyama hivi karibuni hivyo naomba kupewa maelekezo pindi tu watakapofika. Kuku watakuwa 200 , banda lipo zuri, . Chakula gani na utaratibu wa dawa kwa wiki zote . Naomba kuwasilisha
Wanajamvi naomba msaada kwenu.... Nategemea kupata kuku wa nyama hivi karibuni hivyo naomba kupewa maelekezo pindi tu watakapofika. Kuku watakuwa 200 , banda lipo zuri, . Chakula gani na utaratibu wa dawa kwa wiki zote . Naomba kuwasilisha