hhsmakwato
Member
- Mar 19, 2015
- 97
- 51
Wanajamvi naomba msaada kwenu....
Nategemea kupata kuku wa nyama hivi karibuni hivyo naomba kupewa maelekezo pindi tu watakapofika.
Kuku watakuwa 200 , banda lipo zuri, .
Chakula gani na utaratibu wa dawa kwa wiki zote . Naomba kuwasilisha