Ufugaji wa kuku wakisasa}layers}

Ufugaji wa kuku wakisasa}layers}

kwelwa

Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
34
Reaction score
0
jamani wana jf mbona hamnipi jibu kuhusiana na post yangu niliyo waomba kuhusiana na mradi wa kuku?bado nipo dilema,kimsingi nilitaka kujua kuku wa wiki 10 wanapatikana wapi na kwa shilingi ngapi,naombeni msaada wenu.
 
mayai yamejaa mjini tray sh 3000, karagabaho.
 
ni kweli kwamba kukuhao unaweza kuwapata lakini tatizo ni mazingira utayowatoa nautapowafugia yatakua yakilingana ki haliya hewa? je chakula utachowalisha ndicho kile walichokua wakila kule walipokuwepo? kama maqjibu ni ndio nitafute kwa mawasiliano yafuatayo! 0753068644 au 0716298386 au nourdeenmgisa@yahoo.com au facebook name nourdeen! mudamwingi nakua shamba hivyo simu yangu kupatikana ni marachache! nitakusaidia hata kwa ushauri pia. Good day
 
nenda jukwaa la biashara/ujasiliamali, utapata info zote mpaka uchoke
 
Back
Top Bottom