Ufugaji wa Kuku wenye Faida na wa Uhakika

Ufugaji wa Kuku wenye Faida na wa Uhakika

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
F-3_20251027_094102_0000.png


Heri ya Wiki Mpya Wafugaji Wapambanaji

Unapoanza wiki hii, Fuga App ipo kukusaidia kufanya ufugaji wako uwe rahisi na wenye faida zaidi!

Makadirio ya Gharama: Jua kwa usahihi kiasi cha mtaji unachohitaji kuanza au kuendesha mradi wako hakuna tena kubahatisha!

Ratiba ya Ulishaji Inayobadilika: Pata mpangilio wa chakula unaobadilika kulingana na umri na idadi ya kuku wako kuhakikisha wanakua vizuri na kutoa matokeo bora!

SMS Reminder: Usisahau chanjo Fuga App itakukumbusha kwa siku moja kabla kupitia sms za kawaida

Faida na Hasara: Rekodi matumizi yako kwa urahisi na uone maendeleo ya shamba lako kidigitali

Pakua Fuga App Leo Playstore au Fungua Fuga App yako sasa, panga wiki yako kwa ufanisi maana wafugaji werevu hutumia Fuga! 🐣✨
 
Back
Top Bottom