habari ni njema. kama uko dar es salaam fika pale ilala kama unakwenda hospitali ya amana kuna duka la dawa za mifugu linaitwa FARMERS CENTER ingia pale yupo daktari atakuambia kila kitu unachotakiwa kufanya kuanzia banda, aina ya chakula, kuku aina ipi nzuri, ufugeje kwa faida na wana vipeperushi na vitabu vya kukusaidia ikiwa utapenda kuchukua. vilevile anaweza kukukutanisha na wafugaji wakubwa wa kuku wa mayai walio karibu na eneo lako ili uweze kujifunza kwao.
Nipo kwenye groups kadhaa za Whatsapp za ufugaji na kilimo, I am sure huko utapata msaada mkubwa sana, otherwise nenda kwenye maduka ya pembejeoSamahani ninaiona sasa hivi reply yako
Nipo tanga na huu mradi ntaufanyia hapa hapa tanga hauna mtu unamjua kwa tanga au nikienda maduka ya mifugo naweza pata pa kuanzia??
Tanga eneo gani na unataka kuanza na Kuku wangapi?Habari za muda huu wanabodi
Naomba kufahamishwa gharama (ijumuishe mtaji, vifaranga, chakula na dawa) za kufuga kuku hawa kwa kuanzia na kuku mia natakiwa kuandaa kias gani
Nimejaribu kusoma threads mbali mbali japo sijazimaliza sjapata iliyoainisha ni mtaji au gharama kias gani natakiwa kuandaa kwa kuwafuga hao viumbe
mojawapo ni hii hapaSamahani ninaiona sasa hivi reply yako
Nipo tanga na huu mradi ntaufanyia hapa hapa tanga hauna mtu unamjua kwa tanga au nikienda maduka ya mifugo naweza pata pa kuanzia??
sorry kwa kujibu late, ninafuga kuku wa nyama alhamdulillah wananilipa so kidogo vi idea vya wapi ntapata chakula bora na daktar au mtaalam sina shaka nalo shida nilitaka tu kujua estimated cost ya kufuga layers itabidi niweke pesa ndefu pia kwa ajili ya gharama za mtaalam na vyakula, asante mkuuMADAME groups ni nzuri kama utampata mfugaji wa uhakika na sio mhamasishaji otherwise tafuta watu wanaofuga kwa kiwango kikubwa pia ni lazima upate duka mabapo utanunua vyakula na madawa na kupata mtaalamu wa uhakika ambaye ukiwa na tatizo atakusaidia. sio shida inatokea ndio unaanza kukimbia kimbia kutafuta daktari.weka gharama za mtaalamu ili upate matokeo bora.
Amemaanisha kuanzia gharama za kununua vifaranga mpka waje wafike umri wa kuanza kutaga, watakuwa na thamani ya 9,000 kila kuku. Ina maana uandae lak tisa. Ila si haba ukaweka zaidi ya hapo ili uwe na emergencyU mean kuku mia naotaka kuanza nao laki tisa mkuu?? Au mie sjaelewa
Fanya kuongeza ongeza maana layers wanahitaji matunzo kwelikweli...Two m sio parefu sana???? Nilijiwekea million moja na nusu
Fanya kuongeza ongeza maana layers wanahitaji matunzo kwelikweli...
Usiwe na hela ya mawazo...
Sent using Jamii Forums mobile app