Ufugaji wa Mbwa kwa biashara

Ufugaji wa Mbwa kwa biashara

Mkuu Sabayi vipi maendeleo ya yule mbwa wa kihindi?? Puppies wake either...???
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Sabayi vipi maendeleo ya yule mbwa wa kihindi?? Puppies wake either...???

Yuko poa sana mkuu na ni mkali sana kwangu watu wanapaheshimu sana usiku labda waje na bunduki hamna puppies mkuu ni dume na sijamtafutia Mchepuko hadi leo
 
Yuko poa sana mkuu na ni mkali sana kwangu watu wanapaheshimu sana usiku labda waje na bunduki hamna puppies mkuu ni dume na sijamtafutia Mchepuko hadi leo

Nashukuru mkuu Sabayi, tunaweza fanya kitu tumpatie kamchepuko??
Hapa home nina kambwa kapo lonely mno, sijui ni breed gani lkn ana umbo kubwa kidogo, manyoya mengi sana mwilini, pia ni mkali vibaya mno.
Ana kama miezi6 sasa.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mkuu Sabayi, tunaweza fanya kitu tumpatie kamchepuko??
Hapa home nina kambwa kapo lonely mno, sijui ni breed gani lkn ana umbo kubwa kidogo, manyoya mengi sana mwilini, pia ni mkali vibaya mno.
Ana kama miezi6 sasa.

Haina shida mkuu wa kwangu ni cross breed ya Bulldog sijajua na huyo wako kama watatoa product nzuri otherwise karibu akiwa kwenye joto unaweza mleta tu wakafanya umalaya labda wanaweza toa product nzuri
 
Wakubwa naombeni mbwa kwani NATAFUTA JIKE KUTOKA GERMAN KWANI YUPO CHOTARA WA JAPAN HAPA ,NISAIDIENI TAFADHALI KWANI WEZI WAMEZIDI...
 
Kuna mbwa wanauzwa pale ubungo baada ya yenu bar kuna duka la dawa za mifugo nje kuna hiace ina mifugo wale jamaa wanao pure german shephard
 
Back
Top Bottom