pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
Hiki ni Kiswahili au?Chukuwa nyama chemsha iwivye vizuri,,,kisha pika uji wa dona usiwe mzito sana kisha chukuwa nyama ulizochemusha changanyia kwenyi huo uji acha adi itokote kwa maana iwivye. utakuja kunishukuru
Mi nina swali.Mkuu acha kuwalisha dagaa
Badala yake wapikie nyama au utumbo wa kuku hakikisha inaiva vizuli na iwe na supu.
Hatuwa ya kwanza, pika dona isiwe nzito ama nyepesi, hakikisha iive vizuli, baada ya hapo changanya na ile nyama koroga vizuli kisha wape. Utakuja kunishukuru mzehe.
Kama una swali jingine nishituwe mkuu.
IntarahamweHiki ni Kiswahili au?
Nashukuru sana mkuuMkuu acha kuwalisha dagaa
Badala yake wapikie nyama au utumbo wa kuku hakikisha inaiva vizuli na iwe na supu.
Hatuwa ya kwanza, pika dona isiwe nzito ama nyepesi, hakikisha iive vizuli, baada ya hapo changanya na ile nyama koroga vizuli kisha wape. Utakuja kunishukuru mzehe.
Kama una swali jingine nishituwe mkuu.
Nashukuru sana kwa ushauri mbwa amekonda kabaki mifupa manyoya yamenyonyoka hadi nafikiria kumtupa maana niliaafiri kama miezi 8 sikuwepo nyumban kuja kurud ndio namkuta kwenye hali kama hio. Pia mbwa wangu ana miaka 5 je inaweza kuwa amechoka ajili ya uzee?Pia wajali chanjo, na vidonge vya vitamini
Kumbe na wewe Ni mhuni, ndiyo maana Makazi Solutions wanawaonea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wakaangie chips mkuu wawekee tomato na kachumbali yenye pilipili nyingi
Soma comment #12Kabla ya hapo walikua na afya nzuri? hayo mabadiliko umeyaona kuanzia wakiwa na umri gani?
Tuanzie hapo kwanza.
Intarahamwe ni zimwi gani?Intarahamwe
Comment #12 haina majibu ya nilichokiuliza,anyway acha niishie hapa.Soma comment #12
Ufugaji wa mbwa na chakula chake
Habari za majukumu wanajamvi, Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona. Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je...www.jamiiforums.com
Nashukuru sana kwa ushauri mbwa amekonda kabaki mifupa manyoya yamenyonyoka hadi nafikiria kumtupa maana niliaafiri kama miezi 8 sikuwepo nyumban kuja kurud ndio namkuta kwenye hali kama hio. Pia mbwa wangu ana miaka 5 je inaweza kuwa amechoka ajili ya uzee?

Wanajiitaje hao Jamaa huko Instagram.?Shida yote ya nini ingia Instagram kuna jamaa wanatengeneza chakula cha mbwa watakupa bei. Waaongezee na vitaminsi watakuwa poa tu.