Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua kucheka na kumfanya mfugaji kufurahi. Angalia huyu hapa
Nitahitaji kukamata vitoto vidogo vya mbweha kabla havijajifunza tabia za porini nivifuge kama mbwa wa kawaida kwa kuvichanganya na mbwa, halafu vikishazaliana kiasi cha kutosha ndipo nitaanza kuwa-export. Kwa vile natumia muda mchache sana Tanzania, nitahitaji mtu wa kuwaangalia kwa muda kama miaka miwili kabla biashara haijaanza kuchanganya. Jambo ninalopenda kuuliza hapa, ni kutaka kuelewa maeneo yepi yana mbweha wengi kusudi nijenge zizi hilo maeneo hayo. Ni sehemu zipi za nchi hii zina mbweha wengi? Ninazungumzia eneo ambalo inawezekana kufuga mbweha 100 na zaidi kwa wakati.