Ufugaji wa Mbweha

Ufugaji wa Mbweha

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua kucheka na kumfanya mfugaji kufurahi. Angalia huyu hapa

Nitahitaji kukamata vitoto vidogo vya mbweha kabla havijajifunza tabia za porini nivifuge kama mbwa wa kawaida kwa kuvichanganya na mbwa, halafu vikishazaliana kiasi cha kutosha ndipo nitaanza kuwa-export. Kwa vile natumia muda mchache sana Tanzania, nitahitaji mtu wa kuwaangalia kwa muda kama miaka miwili kabla biashara haijaanza kuchanganya. Jambo ninalopenda kuuliza hapa, ni kutaka kuelewa maeneo yepi yana mbweha wengi kusudi nijenge zizi hilo maeneo hayo. Ni sehemu zipi za nchi hii zina mbweha wengi? Ninazungumzia eneo ambalo inawezekana kufuga mbweha 100 na zaidi kwa wakati.
 
Nitajie sheria ya Tanzania inayokuruhusu kufuga mbweha kibiashara
Ni afadhali uongee upande wa sheria namna hiyo kuliko ulivyoanza na maneno ya kijiweni. Je kuna sheria yoyote inayozuia kufuga mbweha? Najua huko mikoa ya Shinyanga kuna watu wanafuga fisi, na mimi nikiwa shule ya msingi tulikuwa tunafuga sungura. Kama watu wamekuwa wanauza ndege nchi za nje, sioni ugumu wa kupata expor licence ya kuuza mbweha.
 
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua kucheka na kumfanya mfugaji kufurahi. Angalia huyu hapa

Nitahitaji kukamata vitoto vidogo vya mbweha kabla havijajifunza tabia za porini nivifuge kama mbwa wa kawaida kwa kuvichanganya na mbwa, halafu vikishazaliana kiasi cha kutosha ndipo nitaanza kuwa-export. Kwa vile natumia muda mchache sana Tanzania, nitahitaji mtu wa kuwaangalia kwa muda kama miaka miwili kabla biashara haijaanza kuchanganya. Jambo ninalopenda kuuliza hapa, ni kutaka kuelewa maeneo yepi yana mbweha wengi kusudi nijenge zizi hilo maeneo hayo. Ni sehemu zipi za nchi hii zina mbweha wengi? Ninazungumzia eneo ambalo inawezekana kufuga mbweha 100 na zaidi kwa wakati.
Mkuu vipi fisi huhitaji?
 
Ukimaliza mbweha utaanza kufuga Bundi kama mbadala wa njiwa.
 
Sijapata soko la bundi na sidhani kama kuna watu wanahitaji kuwafuga. Nikipata soko lake na nikaweza kuwafuga, nitafuga tu. Unajua sisi waswahili tuna tabia ya kudhani kuwa wanyama fulani ni haramu, lakini wenzetu wanawaona ni wanyama tu. Hata Bundi ni ndege mkama ndege wengine tu.
 
Kwahiyo kwa sababu wewe una muda mchache Tanzania utaanzisha zizi la mbweha kama 100 hivi kisha utamkabidhi jamaa akusaidie juu ya makuzi ya mbweha hao ktk kipindi cha miaka miwili? So utakuwa Uko kwa mbali unaMonitor jamaa anavyowatunza huku ukiendelea kutafuta masoko
 
Siyo kuwa namuachia peke yake, nitakuwa ninafuatilia kwa karibu kwa kutembelea mara kwa mara na kuhakikisha kuwa ufugaji unakwenda vizuri ikiwa ni pamoja na kutumia wataalamu wa wanyama. Soko la uhakika tayari ninalo, ninakosa mbweha tu.
 
Nimegundua soko zuri sana la mbweha ninataka kuanza kuwafuga. Kuna watu wanapenda kufuga mbweha kuliko hata mbwa kwa sababu mbweha walifuugwa wanafurahisha sana kuliko mbwa wa kawaida; wanajua kucheka na kumfanya mfugaji kufurahi. Angalia huyu hapa

Nitahitaji kukamata vitoto vidogo vya mbweha kabla havijajifunza tabia za porini nivifuge kama mbwa wa kawaida kwa kuvichanganya na mbwa, halafu vikishazaliana kiasi cha kutosha ndipo nitaanza kuwa-export. Kwa vile natumia muda mchache sana Tanzania, nitahitaji mtu wa kuwaangalia kwa muda kama miaka miwili kabla biashara haijaanza kuchanganya. Jambo ninalopenda kuuliza hapa, ni kutaka kuelewa maeneo yepi yana mbweha wengi kusudi nijenge zizi hilo maeneo hayo. Ni sehemu zipi za nchi hii zina mbweha wengi? Ninazungumzia eneo ambalo inawezekana kufuga mbweha 100 na zaidi kwa wakati.

😀Maisha yameshapanda bei.
Vipi, huitaji kobe? Kuna mahali wapo wengi kweli, wanaharibu tu mazao kwenye mashamba ya wakulima. Hasa majani ya maharage yakiwa bado machanga!
 
Mleta mada nakupongeza kwa wazo la biashara,wazo zuri ingawa kuna watu wasioweza kufikiri nje ya box wanaleta mizaha.Kabla ya kufuga uwasiliane na TAWA,wanahusika na wanyama pori wakupe kibari cha kuwafuga na jinsi gani utakavyoweza kuwafuga, tabia zao,chakula ,mabanda nk.
Na kama unataka kusafirisha nje ya nchi unatakiwa kuomba kibari cha kuwasafirisha nje ya nchi.
 
Nimepata mtu wa akunisaidia kupata vibali na masharti yake. Kuhusu kusafirisha nje pia kuna sharti la kwamba tusifirishe namba isiyozidi kiasi fulani; cha muhimu ni kuwa tunaruhusiwa kusafirisha idadi tutakayozalisha lakini siyo wale wa kukamata porini. Tatizo ambalo bado tunashughulikia ni namna ya usafirishaji kwani ni KLM tu ndiyo inayoweza kuwasafirisha kwa sasa ispokuwa wanatakiwa wasajiriwa kama pets siyo wild animals. Yote hayo ni sawa tu kwa sasa kwani zoezi zima litachukua kama miaka miwili hivi.
 
Duh hao wadudu ni hatari sa kuna rafiki yangu aliwahi kuumwa na mbweha hakuchukua muda akaanza kubweka kama mweha wana kichaa cha mbweha cha juu sana na angalizo mnyama wa mwituni hata umfuge vipi huwa hawatabiriki ipo siku atarudia asili yake.

Pia kwa Sheria za Tanzania mnyama kama mbweha au fisi huwezi kuwafuga au kuwafanyia biashara bila kibali cha maliasili
 
Back
Top Bottom