Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Yaani mkuu unafananisha kufuga Sungura na Mbweha !???Ni afadhali uongee upande wa sheria namna hiyo kuliko ulivyoanza na maneno ya kijiweni. Je kuna sheria yoyote inayozuia kufuga mbweha? Najua huko mikoa ya Shinyanga kuna watu wanafuga fisi, na mimi nikiwa shule ya msingi tulikuwa tunafuga sungura. Kama watu wamekuwa wanauza ndege nchi za nje, sioni ugumu wa kupata expor licence ya kuuza mbweha.
Sisemi kwamba hauwezi ukafuga lakini its common sense kwamba kitu ambacho kinaweza kuwa hatari au nuisance kwa majirani lazima vitakuwa na vibali au hata majirani wakilalamika huenda ukakatazwa ila kama utakuwa in the middle of nowhere basi unaweza ukafanya ila hata hio lazima uonyeshe kwamba you can manage wild animals....
Pia kwa watu wapenda deals mtu anaweza akajipitisha hapo au mbuzi wake na kudai mbweha wako wamekula mfugo wake au mtoto wake ameumwa na Mbweha..., Unaweza ukajikuta upo mahakama kumalizana na Cases za Madai zaidi kuliko Sokoni ukitafuta wateja....,