Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

tunatengeneza uhitaji alafu tunaanza kupiga pesa alafu tunalala mbele,
 
View attachment 1804547
Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa.

Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
Kuna nchi 10 zinaongoza kwa uchawi bila shaka soko litakuwa la kuzidi mkuu.

Angalizo..ukitimuliwa mtaani utuletee mrejesho 😆😆
 
Back
Top Bottom