Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Habari zenu wafugaji,
mimi ni mfugaji tangu siku nyingi zilizopita, nimejikita sana kwenye kuku wa kienyeji.
hivi karibuni nilinunua mayai ya kanga nikayatotolesha pamoja na mayai ya kuku, sasa naona vifaranga vya kanga (sijuwi kama ni jina sahihi) vinakua kwa kasi kubwa kuliko kuku!
sasa nataka nizalishe kanga kwa wingi sana.
unajua utofauti upi kati ya kuku na kanga kuanzia kuzaliana- masoko?
karibu tupeane mawazo, changamoto nk