Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Kweli. nasikia wanataga ovyovyo tu, hapoTatizo la kanga kama huna uzio wanataga popote..
natamani sana kujua kuhusu soko lake, kuna mdau aliwahi kuniambia kwamba yai moja anauza kwa sh1,000 nilimpuuza tu.Kanga wana shida ya kupiga kelele sana kwenye mji. Pia wanataga popote na wanataga mayai mengi.
Kwakua asili yao n ndege wa porini hua wanahimili magonjwa. Ukipata soko lake la uhakika utawafurahia maana utakua nao wengi sana.
Hongera mkuu
Nizawadie kuku ndugu nipate kitoweo MAULID yaja.kwakwel kufuga raha! nyama unachagua kuku unaemtaka, mayai ndo usiseme! Wenzetu wanauziwa chips 2,000 mayai mawili-matatu aisee[emoji4][emoji4]
usijali [emoji4]
Ninao kanga wadogowadogo sana lakini ukuaji wake unanitamanisha sana, yaan wanaSpeed kuliko kuku!Nyuzi adimu izi leo mnaongea uhalisia wa maisha
Tukirudi kwenye mada sjawahi kubahatika kula kanga
UmechanganyikiwaKanga hawapendi kuku mwenye vifaranga anavojitanuwa watamchangia wampige Hadi afe.Wana wivu sana sema mi nilikuwaga nna jogoo wangu mmoja alikuwa kiboko anawabanduwa kanga kinoma.Vikaja vikazaliwa vitoto shombe shombe ilivonyesha mvua vikanyeshewa vikafariki.
Sijafuatilia sana huku kwetu, lakini kuna kipindi nkiwa sirari kuna jamaa mmoja alikua anawapeleka kenya. Kule alikua anauza kanga mmoja KSH 1500, approzmately 30000 ya bongo. Sema baadae alitapeliwa kanga kama 30 hv akaacha kufuga. Kule kenya wana soko sana.
Kwa tanzania mpka kufanya research kubwa.
Lakini ntaulizia kuna mtu alikua anawafuga dodoma. Subr niulize soko lake af ntakupa mrejesho
Kanga pia wanakufa sana mkuu,mm imebidi niachane nao sasa nimejikita kwenye Bata tuMimi mwenyewe nina mpango na kanga kuku wanakufa mno