Mwalimu Truth
Member
- Feb 15, 2015
- 57
- 71
Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha.
Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia ambaye bado mdogo ni bei gani? Ngamia mkubwa bei gani? Nizingatie nini wakati wa kumfuga Ngamia?
Kwa ambao hawafahamu, Ngamia ni dili kwa shughuli za utalii, usafirishaji pamoja na maziwa yake kusemekana kuwa ni dhahabu inayotembea.
Lakini mimi nawahitaji kwa shughuli za Kitalii, mwenye A B C D za Ufugaji huu kulingana na vitu nilivyotaja hapo juu naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nina wasalimu kwa jina la JF. Nimetafuta pa kuwanunua nimekosa!!!