Ufugaji wa ngamia

Ufugaji wa ngamia

Mwalimu Truth

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
57
Reaction score
71
Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha.

Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia ambaye bado mdogo ni bei gani? Ngamia mkubwa bei gani? Nizingatie nini wakati wa kumfuga Ngamia?

Kwa ambao hawafahamu, Ngamia ni dili kwa shughuli za utalii, usafirishaji pamoja na maziwa yake kusemekana kuwa ni dhahabu inayotembea.

Lakini mimi nawahitaji kwa shughuli za Kitalii, mwenye A B C D za Ufugaji huu kulingana na vitu nilivyotaja hapo juu naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nina wasalimu kwa jina la JF. Nimetafuta pa kuwanunua nimekosa!!!
 
Habari chief

Ulifanikiwa kupata ? na mimi natafuta Ngamia kama 2 tu

Naomba msaada kama ulifanikiwa
 
Mi nipo dom, huku sio mara moja nimekutana na kundi la ngamia zaidi ya 30. Huku kuna watu wanawafuga. Pia ukipita barabara ya dom kwenda arusha kabla hujaingia kondoa kuna mtu anazizi la ngamia. Ukiwa kwenye basi unawaona. Pia pale kanisa la anglican kondoa mjini kuna ngamia wa kutosha. Ukiwa kondoa bei ya nyama ya ngamia ni kati 8,000=10,000. Kwa kilo 1. Na ukiwa dar maziwa ya ngamia ni 2000=3000 kwa glass pale mnazi moja.
 
Ahsante ndugu nitajaribu kufuatilia,nashukuru sana.
 
Kama upo dodoma mitaa ya mihuji (mipango) wapo
Happy Kilimanjaro nenda wilaya ya hai Kuna hotel moja ya msomali inaitwa kiriwe ipo bomang'ombe huyo mzee anangamia nakumbuka Kuna mwaka alishawai mpa kikwete zawadi alipotembelea wilaya ya siha pia
Kama upo kondoa wapo ukiwa road unaona vijana wakiwachunga
 
Sikufanikiwa kupata mkuu...
Kwa urahisi zaidi ungeenda asas pale iringa wanazo mbegu nzuri sana za ngamia na wanafanya breeding pia palepale, ukienda pale utapata pia ushauri wa kutosha kuhusu ufugaji na utunzaji wa ngamia
- unaweza pia kufuatilia clip yao walipokuwa wanaelezea ufugaji wa ngamia na mazao yake kipindi Cha maonesho ya nanenane Kwa uhakika zaidi
 
Kama upo dodoma mitaa ya mihuji (mipango) wapo
Happy Kilimanjaro nenda wilaya ya hai Kuna hotel moja ya msomali inaitwa kiriwe ipo bomang'ombe huyo mzee anangamia nakumbuka Kuna mwaka alishawai mpa kikwete zawadi alipotembelea wilaya ya siha pia
Kama upo kondoa wapo ukiwa road unaona vijana wakiwachunga
Naomba unielekeze vizuri kwa nan haswa wanapatikana ninahitaji na mimi kama wawili kiongozi
 
Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha.

Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia ambaye bado mdogo ni bei gani? Ngamia mkubwa bei gani? Nizingatie nini wakati wa kumfuga Ngamia?

Kwa ambao hawafahamu, Ngamia ni dili kwa shughuli za utalii, usafirishaji pamoja na maziwa yake kusemekana kuwa ni dhahabu inayotembea.

Lakini mimi nawahitaji kwa shughuli za Kitalii, mwenye A B C D za Ufugaji huu kulingana na vitu nilivyotaja hapo juu naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nina wasalimu kwa jina la JF. Nimetafuta pa kuwanunua nimekosa!!!
 
Attachments

  • IMG_2270.jpeg
    IMG_2270.jpeg
    1.7 MB · Views: 18
Back
Top Bottom