Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

Aisee kumbe wanapesa namna hyo hawa viumbe, yani kuna siku walinioshea balaaa sisahau [emoji1][emoji23]
 
Unapatikana wapi mkuu uku nilipo wapo red scorpion wengi tu tena wale wakubwa mpk KOBOKO
 
Duh haya jama ujasiriamali huo, ukiwa maskini na umeuona uzi utakua umejitakia
 
Ufugaji mzuri tuone mazingira yake ya kufugiwa yanakuwaje kwani ni mdudu balaa sana alishaniwahi siku moja nilizunguka shamba zima kwa maumivu makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…