Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

Mmmhhhh ishakuwa nongwa sasa.! Ufugaji wa Nzi utaanza lini waungwana.?
 
Kuna mtu kasema galoni moja ya sumu ya nge inahtaj nge 25,000. Basi Bw. Msaga sumu cha kufanya we kusanya vijana 1000 nchi nzima kila mmoja alete nge 25 Kazi itakuwa imeisha. Bilion 75 zikipatkana kila mmoja ataambulia milion 75
 
Kwa namna wabongo tupendavyo shekeli, ipo siku tutaambiwa ukimkamata shetani ni trilioni 1,000,000Tsh unayo. Hapo ndipo watu tutakuwa tukikesha kila kona kama sungusungu.
 
Nilitamani kuwajibu ila nikaishia na maswali.. hilo banda la hao ng'e nitalijengaje hadi wasitoke na kuleta shida kwa viumbe wengine?

Nitawalisha chakula gani ili waongezeke kiurahisi? Uzao wao ukoje, je wanazaa kwa mkupuo kwamba ndani ya muda mfupi watakuwa wengi zaidi?

Pia kwa mabilioni hayo kunaashiria si kazi ndogo kupata hao wadudu ingekuwa ni rahisi bei ingekuwa chini!
 
Hizi ndizo mada za kusoma, sio mchanga mchanga mchanga...mxiuus
 
Mtoa mada mbona umekimbia kutujibu maswali esp. yangu? Mi nipo serious nataka kujaribu hiyo kitu kwa sababu huku nilipo ng'e wanapatikana kiurahisi. msaada pls
 
Hizi ndizo mada za kusoma, sio mchanga mchanga mchanga...mxiuus
Ipo siku mtajalia kama mbuzi.. Hizi post zipo saana duniani kwa lugha mbali mbali anadanganya anatafuta kitu/ bidha/ dawa/ wadudu kumbe ye ndio anao unaenda nunua kisha unabaki nao ndio utajua makanikia ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! Kuna Watu hata wafanyaje watakufa Fukara tu.... Watabakia kumlaumu Mungu kuwa ana Upendeleo.
 
Unaweza fuga hao nge lakini method yaku extract iyo simu ikawa ghali Sana na ata njia ya kuhifadhi iyo simu ikaendelea kua katika ubora wake ulele ikawa ishu.
 
Back
Top Bottom