Ufugaji wa n'gombe wa kienyeji

Assenga2002

Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
7
Reaction score
1
Habarini wakuu,

Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za ufugaji wa kienyeji na gharama zake (ndama) kwa ukanda wa Moshi huku.
 
Moshi Ni wilaya iliyo mkoani Kilimanjaro.

Kama ni mwanafunzi nakushauri ufungue fixed account, bana matumizi, focus kwenye masomo upate GPA isiyopungua 3.9, maliza Chuo, amua ufanyie Nini akiba yako huku ukitafuta ajira.

Unasoma kozi Gani Ndugu?
 
nunua mitamba ya ng'ombe wa kati hasa borani mbegu Iko pale tengeru japo imekuwa na inbreeding kidogo ila Iko vizuri Kwa mbali
 
Elimu ya chuo haifai kusoma tuh bila kujihusisha na kutafuta kipato na kuanza kujitegemea
 
Moshi Ni wilaya iliyo mkoani Kilimanjaro.

Kama ni mwanafunzi nakushauri ufungue fixed account, bana matumizi, focus kwenye masomo upate GPA isiyopungua 3.9, maliza Chuo, amua ufanyie Nini akiba yako huku ukitafuta ajira.

Unasoma kozi Gani Ndugu?
Nasoma procurement and logistics

Ila kikubwa kama Kuna uwezekano wa kumiliki asset kama hyo na haito athiri masomo nadhan ni jambo la muhim kulko biashara ambayo muda mwngne inahtaji usimamizi wangu
Nasoma procurement and logistics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…