Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
Shida ni kufuga kila kitu au kuna lingine 😅 , kama upo interested kuna video hapo ya kujifunza nduguUnafuga Kila kitu mpk sisimizi
Shida ni kufuga kila kitu au kuna lingine 😅 , kama upo interested kuna video hapo ya kujifunza nduguMkuu wewe usichofuga hasa ni nini? ipo siku utaleta ufugaji wa binadamu humu
Rastaman Rubaba Justin kalikawe ana undugu na wewe?
View: https://youtu.be/2w3zUtsShD0Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja…
Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖
Hebu fikiria hii:
Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii ni zaidi ya nguruwe 40 ndani ya mwaka mmoja!
Alafu mmoja tu wa hao ukiuza kwa Tsh 300,000+, unapata kiasi gani? 💰
Hii ni biashara iliyojificha machoni mwa wengi.
Lakini kuna kitu kimoja kinazuia watu wengi kufanikiwa — gharama za chakula.Ndio maana baadhi ya wafugaji hukata tamaa mapema.
Lakini kuna siri ndogo ambayo wafugaji wachache wameijua:
Kubadili mfumo wa ulishaji kwa kutumia concentrate bora kama za Koudijs.
Zinaokoa gharama na kuongeza tija ⚖️✨
Wafugaji wanaojifunza mbinu hizi, hata kama wanaanza na wachache, wanapiga hatua haraka sana.
Ni wazi kwamba elimu sahihi ndiyo tofauti kati ya kufuga kwa matumaini na kufuga kwa mafanikio ✅
Nilishangaa sana nilipoanza kufuatilia haya mambo kwa undani — kumbe mafanikio ya kufuga hayaji kwa bahati, bali kwa maarifa!
Sijui kama wewe pia umewahi kuwaza kuingia kwenye ufugaji huu kwa umakini zaidi…
#UfugajiWaNguruwe
#FursaZaKilimoNaUfugaji
#NguruweNiBiashara
#MaarifaNiNguvu
#FikraZaKufanikiwa
#KijanaNaKilimo
#FugaKitaalamu
#TanzaniaYaViwandaInaanziaShambani
Justin Kalikawe ?Rastaman Rubaba Justin kalikawe ana undugu na wewe?
Hizo Duloc, large white nazipataje zile OG? Maana wauzaji wanakupa 2nd au 3rd filial generation ambazo huwa zimeshapoteza ile genetic makeup
View: https://youtu.be/2w3zUtsShD0Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja…
Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖
Hebu fikiria hii:
Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii ni zaidi ya nguruwe 40 ndani ya mwaka mmoja!
Alafu mmoja tu wa hao ukiuza kwa Tsh 300,000+, unapata kiasi gani? 💰
Hii ni biashara iliyojificha machoni mwa wengi.
Lakini kuna kitu kimoja kinazuia watu wengi kufanikiwa — gharama za chakula.Ndio maana baadhi ya wafugaji hukata tamaa mapema.
Lakini kuna siri ndogo ambayo wafugaji wachache wameijua:
Kubadili mfumo wa ulishaji kwa kutumia concentrate bora kama za Koudijs.
Zinaokoa gharama na kuongeza tija ⚖️✨
Wafugaji wanaojifunza mbinu hizi, hata kama wanaanza na wachache, wanapiga hatua haraka sana.
Ni wazi kwamba elimu sahihi ndiyo tofauti kati ya kufuga kwa matumaini na kufuga kwa mafanikio ✅
Nilishangaa sana nilipoanza kufuatilia haya mambo kwa undani — kumbe mafanikio ya kufuga hayaji kwa bahati, bali kwa maarifa!
Sijui kama wewe pia umewahi kuwaza kuingia kwenye ufugaji huu kwa umakini zaidi…
#UfugajiWaNguruwe
#FursaZaKilimoNaUfugaji
#NguruweNiBiashara
#MaarifaNiNguvu
#FikraZaKufanikiwa
#KijanaNaKilimo
#FugaKitaalamu
#TanzaniaYaViwandaInaanziaShambani
OOh kumbe sio mwenyeji wa Bukoba?Justin Kalikawe ?
Sijawahi kumsikia ndugu,
Nicheck whatsup tukusaidie 0764 148 221Hizo Duloc, large white nazipataje zile OG? Maana wauzaji wanakupa 2nd au 3rd filial generation ambazo huwa zimeshapoteza ile genetic makeup
Hapa nime refer Mendelian Principle of Inheritence.
Mtaalam nisaidie
Hapana nduguOOh kumbe sio mwenyeji wa Bukoba?
OkHapana
Hapana ndugu
Upo sahii kabisaufugaji ni fursa ukiwa na hobby nao kinyume na hapo! Utajipotezea tu mtaji wako👿
Sisimizi wa maziwa😎Unafuga Kila kitu mpk sisimizi
😅😅Sisimizi wa maziwa😎