Degelingi_One
Member
- Nov 17, 2018
- 72
- 121
Kwa mazingira niliyopo miundo mbinu kama mabanzi na nguzo gharama zake ni ndogo sana mkuu.300k ni ndogo sana kwa kuanzia.
Gharama ya kununua nguruwe, madawa na chanjo, vyakula na hayo mabanzi ya bei rahisi unayosema.Kwa mazingira niliyopo miundo mbinu kama mabanzi na nguzo gharama zake ni ndogo sana mkuu
Hata kama banda la kufugia unalo, bado hiyo pesa ya Laki tatu ni ndogo sana.Kwa mazingira niliyopo miundo mbinu kama mabanzi na nguzo gharama zake ni ndogo sana mkuu
Kwa Zanzibar soko lake lipoje.Siijui hiyo biashara wala huo ufugaji kiundani, lakini kwa huo mtaji wa laki tatu huenda ni mdogo sana, hutoboi. Hiyo laki tatu inaweza kutosha kununua watoto kadhaa wa nguruwe au kujengea banda tu.
kwa Zanzibar soko lake lipoje
Kama ilivyo pombe ambapo kwa Zanzibar haizalishwi lakini inaletwa kutoka bara na kuuzwa maeneo maalum.kwa Zanzibar soko lake lipoje
Je ni kweli nguruwe anafugwa ktk makambi ya jeshi na polisi? Pia mtu wa bara anaruhusiwa kumiliki Ardhi Zanzibar?Kama ilivyo pombe ambapo kwa Zanzibar haizalishwi lakini inaletwa kutoka bara na kuuzwa maeneo maalum.
Nguruwe nayo ni hivyo hivyo, hawafugwi (japokuwa kisiri nasikia kuna mchaga mmoja mbabe anafuga Unguja), Kitimoto inaletwa Zanzibar na inauzwa kwenye maeneo mahususi tu, hususani kwenye hoteli za kitalii tu.
Tamaduni za watu wa Zanzibar ziko tofauti sana na bara.
Kama mwezi mtukufu tu ukikutwa unakula unasekwa lupango sembuse kufuga noah. 😂watu wachokozi,yani ukafuge nguruwe zanzibar[emoji1787]
Mkuu nauliza nifahamu namna ya kuoperate kitimoto Zanzibar,ni biashara inalipa vizuri.watu wachokozi,yani ukafuge nguruwe zanzibar[emoji1787]
Kama mwezi mtukufu tu ukikutwa unakula unasekwa lupango sembuse kufuga noah. [emoji23]
Sawa mkuu, huwenda inalipa kwa sababu sijawahi kufika huko ila nakushauri kuwa makini sana.mkuuu nauliza nifahamu namna ya kuoperate kitimoto Zanzibar, ni biashara inalipa vizuri.
Kwanini afuge kwa siri, kwani kuna shida gani?Kama ilivyo pombe ambapo kwa Zanzibar haizalishwi lakini inaletwa kutoka bara na kuuzwa maeneo maalum.
Nguruwe nayo ni hivyo hivyo, hawafugwi (japokuwa kisiri nasikia kuna mchaga mmoja mbabe anafuga Unguja), Kitimoto inaletwa Zanzibar na inauzwa kwenye maeneo mahususi tu, hususani kwenye hoteli za kitalii tu.
Hivyo kufanya hiyo biashara inabidi uwe na connection na hizo hoteli halafu uwe unaleta Cargo yako kila baada ya muda fulani. Kwa sasa biashara ya utalii imedorora sana, hakuna watalii hivyo soko la hizo mambo liko down.
Tamaduni za watu wa Zanzibar ziko tofauti sana na bara.
Please hebu achen kuhalalisha vitu visivyo sahihiYani wanaweza wakuchape kipigo hatari maana ile nchi ni islamic state
Kama ilivyo pombe ambapo kwa Zanzibar haizalishwi lakini inaletwa kutoka bara na kuuzwa maeneo maalum.