Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Thanks brazaSifahamu mi nilifuga nguruwe kienyeji.
Ila najua sasa hivi ktk ufugaji wa nguruwe wafugaji wanaangalia.
1. Mbegu kubwa ya Nguruwe.
2. Chakula bora ( hili watafute wataalamu wa ufugaji watakusaidia)
Thanks mkuu, angalau wewe umekuja na maelezo yanayo eleweka.Kwa kuanzia 300k inatosha. Huku Iringa kwa mfano bei ya nguruwe wadogo miezi 2 "weaned piglet"Ni elfu 50. Hivyo unaweza kuanza na vitoto 3,dume 1 na vijike2. Ni vema kutengeneza banda lenye Concrete kuliko la kichanja cha mabanzi ili nguruwe wasijeruhiwe kwa kujibana miguu.
Gharama ya banda haizidi elfu 60. Pia gharama ya chakula kwa hao nguruwe 3 si kubwa kwani debe la pumba ni elfu 3.Wakiwa wadogo debe la pumba wanaweza kula kwa siku 3 hadi 4 kama utawapa na makombo ya vyakula.
Nguruwe huwa tayari kuzaa akiwa na miezi 6 hadi 7 km wata kua vizuri km ukizingatia vzr kinga ya minyoo hasa ukurutu.Nguruwe akizaa unaingiza pesa kwa kuuza vitoto. Kwa uzao wa kwanza nguruwe mzuri huzaa watoto 8-12 kwa bei ya Tshs elfu 50 unaweza ingiza laki 4 na zaidi. Mungu akupe nini?
Cha msingi lazima uchague mbegu nzuri inayokua kwa haraka na yenye umbo kubwa. Bei ya nguruwe mkubwa wa miezi 8 - 12 huanzia laki 3 na kuendelea, kutegemea uzito wake. Muhimu ni kujipanga kwenye tiba na chakula.
Unapatikana wapMm nimejengea banda kwa tofali za kuchoma la mita 9 kwa 3. Lina 3 equal rooms.
Nguruwe nilinunua 10@40,000
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
500k je...?300k ni ndogo sana kwa kuanzia.
tuseme ukimfuga dar anakuwa fastainasemekana sehemu zenye hali ya joto nguruwe anakua haraka tofauti na akifugwa sehemu zenye baridi.
japo kwa sasa nawalisha maramoja kwa sikuRafiki 300k inatosha sana kwa kufuga ila sema unaweza kuanza na vitoto viwili. Kwa Ifakara sijajua Iringa gharama ya mabanda mawili inaweza kuwa shilling laki moja bati used pamoja na mabanzi. Gharama kubwa ipo kwenye kuwtunza, kwa siku wanakula mara mbili, ili wakue vizur wanatakiwa kula pumba za mahindi , mpunga,chokaa, damu, pig mixture na boost Ila sema kukulipa ni inabid uwe na subira kidogo si chin ya miezi nane
Ndio maana n busara kufanya bila kiwa na uhitaji wa matokeo ya haraka.
Duhhh mkuu sio mbwa hao wakula mara 1 Kwa siku, fanya mchakato uwabadirishie ratibaShukrani sana Mkuu Madini hayo!!!. japo nishaanza mradi
japo kwa sasa nawalisha maramoja kwa siku
Hakuna kumi isiyoanza na moja, wasikukatishe tamaa hao.Kwa mazingira niliyopo miundo mbinu kama mabanzi na nguzo gharama zake ni ndogo sana mkuu.
Hakuna kumi isiyoanza na moja, wasikukatishe tamaa hao.
Nilinachokiona kwa hao no kutaka mafaniko ya haraka.
300000/ Kama upo kwako,
1. Cement mfuko 1= sh16000
2. Bati used 7=sh35000
3. Mabanzi 20,=50000
4. Misumari4" 3kg=9000.
5. Mchanga plastik 12 Lita 10
6. Kokoto plastiki 15
No5 na6 unaeza tumia raslimali nguvu zako.
Mpaka hapo utakuwa umebaki na sh 190000/
7.Nunua piglet jike wa miezi2 chotara = 100000
8. Mifuko2 ya starter 70000
9. Dawa ya minyoo na maltvitamin=20000
TUMEMALIZA 300000.
Ikikumbukwe nguruwe no uwekezaji was muda mrefu na kwamba siyo wafungaji site wanaorundika pesa kwa ajili ya kuendesha mradi.
Ukisha ingiza nguruwe wako bandani , endelea kutafuta pesa za kumuhudumia
Baada ya miezi7 utampandisha na dume la kukodi highbleed ukikosa tafuta chotara.
Akishazaa bakisha majike2 wengine uza wakusaidie kulisha.
MWANZO MGUMU
No gain without painHongera sana, umempa nguvu sana akiona hii post ataifanyia kazi kama ela bado ipo