Ufugaji wa Nguruwe

Ufugaji wa Nguruwe

Kwa kuanzia 300k inatosha. Huku Iringa kwa mfano bei ya nguruwe wadogo miezi 2 "weaned piglet"Ni elfu 50. Hivyo unaweza kuanza na vitoto 3,dume 1 na vijike2. Ni vema kutengeneza banda lenye Concrete kuliko la kichanja cha mabanzi ili nguruwe wasijeruhiwe kwa kujibana miguu.

Gharama ya banda haizidi elfu 60. Pia gharama ya chakula kwa hao nguruwe 3 si kubwa kwani debe la pumba ni elfu 3.Wakiwa wadogo debe la pumba wanaweza kula kwa siku 3 hadi 4 kama utawapa na makombo ya vyakula.

Nguruwe huwa tayari kuzaa akiwa na miezi 6 hadi 7 km wata kua vizuri km ukizingatia vzr kinga ya minyoo hasa ukurutu.Nguruwe akizaa unaingiza pesa kwa kuuza vitoto. Kwa uzao wa kwanza nguruwe mzuri huzaa watoto 8-12 kwa bei ya Tshs elfu 50 unaweza ingiza laki 4 na zaidi. Mungu akupe nini?

Cha msingi lazima uchague mbegu nzuri inayokua kwa haraka na yenye umbo kubwa. Bei ya nguruwe mkubwa wa miezi 8 - 12 huanzia laki 3 na kuendelea, kutegemea uzito wake. Muhimu ni kujipanga kwenye tiba na chakula.
Thanks mkuu, angalau wewe umekuja na maelezo yanayo eleweka.

Wengi humu wanapenda sana kukutishana tamaa hata kwa mambo wasio yajua.
 
Rafiki 300k inatosha sana kwa kufuga ila sema unaweza kuanza na vitoto viwili. Kwa Ifakara sijajua Iringa gharama ya mabanda mawili inaweza kuwa shilling laki moja bati used pamoja na mabanzi. Gharama kubwa ipo kwenye kuwtunza, kwa siku wanakula mara mbili, ili wakue vizur wanatakiwa kula pumba za mahindi , mpunga,chokaa, damu, pig mixture na boost Ila sema kukulipa ni inabid uwe na subira kidogo si chin ya miezi nane
Ndio maana n busara kufanya bila kiwa na uhitaji wa matokeo ya haraka.
 
inasemekana sehemu zenye hali ya joto nguruwe anakua haraka tofauti na akifugwa sehemu zenye baridi.
 
Shukrani sana Mkuu Madini hayo!!!. japo nishaanza mradi
Rafiki 300k inatosha sana kwa kufuga ila sema unaweza kuanza na vitoto viwili. Kwa Ifakara sijajua Iringa gharama ya mabanda mawili inaweza kuwa shilling laki moja bati used pamoja na mabanzi. Gharama kubwa ipo kwenye kuwtunza, kwa siku wanakula mara mbili, ili wakue vizur wanatakiwa kula pumba za mahindi , mpunga,chokaa, damu, pig mixture na boost Ila sema kukulipa ni inabid uwe na subira kidogo si chin ya miezi nane
Ndio maana n busara kufanya bila kiwa na uhitaji wa matokeo ya haraka.
japo kwa sasa nawalisha maramoja kwa siku
 
Huyu wa kwangu anaitwa bwana John🤗🤗🤗
2021051164747.jpg
 
Kwa mazingira niliyopo miundo mbinu kama mabanzi na nguzo gharama zake ni ndogo sana mkuu.
Hakuna kumi isiyoanza na moja, wasikukatishe tamaa hao.
Nilinachokiona kwa hao no kutaka mafaniko ya haraka.
300000/ Kama upo kwako,
1. Cement mfuko 1= sh16000
2. Bati used 7=sh35000
3. Mabanzi 20,=50000
4. Misumari4" 3kg=9000.
5. Mchanga plastik 12 Lita 10
6. Kokoto plastiki 15
No5 na6 unaeza tumia raslimali nguvu zako.
Mpaka hapo utakuwa umebaki na sh 190000/
7.Nunua piglet jike wa miezi2 chotara = 100000
8. Mifuko2 ya starter 70000
9. Dawa ya minyoo na maltvitamin=20000
TUMEMALIZA 300000.
Ikikumbukwe nguruwe no uwekezaji was muda mrefu na kwamba siyo wafungaji site wanaorundika pesa kwa ajili ya kuendesha mradi.

Ukisha ingiza nguruwe wako bandani , endelea kutafuta pesa za kumuhudumia
Baada ya miezi7 utampandisha na dume la kukodi highbleed ukikosa tafuta chotara.

Akishazaa bakisha majike2 wengine uza wakusaidie kulisha.
MWANZO MGUMU
 
Hongera sana, umempa nguvu sana akiona hii post ataifanyia kazi kama ela bado ipo
 
Hongera sana, umempa nguvu sana akiona hii post ataifanyia kazi kama ela bado ipo
No gain without pain
Watu tuota mafanikio ya haraka Sana,
Tukubali kuumia ndipo tufanikiwe.
Kuhusu suala la mtaji hakuna mtu hata ndugu atakayekupa.
Pambana na kidogo ulichonacho kwa uvumilivu Mungu atakubariki
 
Anaejua kifaa kinaitwa PIG SNARE kinauzaa bei gani na naweza kukipata wapi msaada please
 
Ahsante mkuu , mi mwenyewe nataka nianze kufuga.kwa mtaji mdogoo. Nataka Nijiajiri. Niifanye kama ajira kama unaweza Kunisaidia zaidi nitashuru. Nahitaji Masaada wa mawazo zaidi. Hata kama kuna la Wasap la wafugaji wa nguruwe , niungwe ili tutiane moyo
 
mbinu zipi ili kujua uzito wa nguruwe bandani bila kutumia mizani
 
mtaji unatosha ukiwa tayar unabanda ,usiogope na usichukue wazo la kila mtu et mtaji ni mdogo we anza na nguruwe jike mbili saizi yakati,then utawahudumia na mahitaji mengine mbeleni kama chakula na chanjo.
 
Back
Top Bottom