Slim Mchuma
Member
- Aug 19, 2016
- 83
- 51
Habari mkuu, kuna aina fulani ya njiwa ni wazuri sana kwa sura na muonekano ambao hunuliwa kwa bei ghali kidogo ukilinganisha na njiwa aa kawaida,aona hii mara nyingi hutumika kwa mapambo tu nimewahi kumuuliza jamaa mmoja pale ilala ambaye ni mfugaji wa hao njiwa,njiwa mmoja anafika hadi 90000/= kwa hiyo mkuu hiyo ni fursa jaribu.Njiwa huwa wanafugwa na watoto, tukiwa primary nakumbuka tulikuwa tunashindana kwa kufuga njiwa.
Sina uhakika kama wanaweza kufugwa kifursa za kiuchumi (kibiashara) labda kama utafuga njiwa weupe ambao huhitajiwa sana na waganga wa kienyeji.
Hili lilikosa jibu jamani?Ivi wanachukua muda gani? Kuanzia kutotolewa mpaka kutaga mayai
Njia huatamia mayai kwa siku 17 then ya 18 na 19 hutotoa.....
Umenipiga shule nzuri...na umenifurahisha pia...eti kutegemea umalaya....Njia huatamia mayai kwa siku 17 then ya 18 na 19 hutotoa.....
Ila hutegemea na mazingira ingawaje haiwez kuzid wala kupungua siku mbili kati ya hizo nlizoandika.
Baada ya hapo njiwa hulalia watoto ila kuwapa joto mpka pale watakapotengeneza manyoya...
Hapa itachukua km week mbili hadi tatu.
Week ya nne had ya 6 njiwa huanza kutoka nnje na kujifunza kuruka ingawaje wengine huchelewa au kuwahi kutegemeana na upatikanaji wa chakula na malezi ya mfugaji.
Ifikapo week ya kumi njiwa huwa tayar anaruka na tayari kwa kupandwa..... Akianza kupandwa ndipo mambo ya kuanza kutaga yatafata....
Kwa iyo siku ya kutaga kwake hakuna atakayekuambia kwa maana kwamba inategemea na umalaya wake na lishe pia..
But tegemea kuanzia week ya kumi kwenda juu siku yoyote njiwa anaweza kutaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatotoa kwa siku mbili!siku ya 18 na 19Njia huatamia mayai kwa siku 17 then ya 18 na 19 hutotoa.....
Ila hutegemea na mazingira ingawaje haiwez kuzid wala kupungua siku mbili kati ya hizo nlizoandika.
Baada ya hapo njiwa hulalia watoto ila kuwapa joto mpka pale watakapotengeneza manyoya...
Hapa itachukua km week mbili hadi tatu.
Week ya nne had ya 6 njiwa huanza kutoka nnje na kujifunza kuruka ingawaje wengine huchelewa au kuwahi kutegemeana na upatikanaji wa chakula na malezi ya mfugaji.
Ifikapo week ya kumi njiwa huwa tayar anaruka na tayari kwa kupandwa..... Akianza kupandwa ndipo mambo ya kuanza kutaga yatafata....
Kwa iyo siku ya kutaga kwake hakuna atakayekuambia kwa maana kwamba inategemea na umalaya wake na lishe pia..
But tegemea kuanzia week ya kumi kwenda juu siku yoyote njiwa anaweza kutaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kw kutegemea na yai la mwanzo kutagwa hutotolewa mapema likifuatiwa na lingine.
Sahihi kabisa...Asanteni!
Ila Jazieni Nyama Zaidi!
Magonjwa Ya Njiwa Ni Yapi?
Kinga Ya Hayo Magonjwa?
Matibabu Yake Vipi!..
Nitashukuru Zaidi, Karibuni.
Mi njiwa nawapenda sana...ila naona wenyewe hawanipendi!kila niwanunua nawanyonyoa manyoa...wakianza kurudi wakija njiwa wageni wakiondoka wanawatorosha...hata kama nawapa msosi wanatoroshwa tuYap kw kutegemea na yai la mwanzo kutagwa hutotolewa mapema likifuatiwa na lingine.
Maaana huwa hayatagi kwa mara moja....
Na ninahisi(sina hakika) dume anatotoa la kwake na jike la kwake....
Sent using Jamii Forums mobile app