Njia huatamia mayai kwa siku 17 then ya 18 na 19 hutotoa.....
Ila hutegemea na mazingira ingawaje haiwez kuzid wala kupungua siku mbili kati ya hizo nlizoandika.
Baada ya hapo njiwa hulalia watoto ila kuwapa joto mpka pale watakapotengeneza manyoya...
Hapa itachukua km week mbili hadi tatu.
Week ya nne had ya 6 njiwa huanza kutoka nnje na kujifunza kuruka ingawaje wengine huchelewa au kuwahi kutegemeana na upatikanaji wa chakula na malezi ya mfugaji.
Ifikapo week ya kumi njiwa huwa tayar anaruka na tayari kwa kupandwa..... Akianza kupandwa ndipo mambo ya kuanza kutaga yatafata....
Kwa iyo siku ya kutaga kwake hakuna atakayekuambia kwa maana kwamba inategemea na umalaya wake na lishe pia..
But tegemea kuanzia week ya kumi kwenda juu siku yoyote njiwa anaweza kutaga.
Sent using
Jamii Forums mobile app