Nawasubiri kwa hamu kubwa mno.Subiri waje
ivi kweli nyuki uwaanafugwa ??Nataka kufuga nyuki kwenye mizinga y mbao.
Natamani mizinga hiyo iwekwe kwenye banda lilijengwa.
Naomba ushauri na hasa changamoto zake.
Banda lankufugia Nyuki linaweza kuwa na changanoto chache ikitegemea na utayarishaji wako.Nataka kufuga nyuki kwenye mizinga y mbao.
Natamani mizinga hiyo iwekwe kwenye banda lilijengwa.
Naomba ushauri na hasa changamoto zake.
Nashukuru sana.Banda lankufugia Nyuki linaweza kuwa na changanoto chache ikitegemea na utayarishaji wako.
1. Banda likiwa na nguzo za miti au mbao changanoto yake kubwa ni mchwa/sisimizi.
2. Ikiwa Banda Lina nguzo za chuma changanoto yake hapa inaweza kuwa Sisimizi na siafu hivyo lazima uweke vikinga au viwambo Kwa ajili ya KUWEKA oil kuwadhibiti.
Banda litakupa faida zifuatazo;
•Litakinga mizinga yako na jua na mvua hivyo kuishi muda mrefu.
•Litaiweka mizinga yako pamoja (Ikitegemea uwezo wa Banda) kama ni 50+ au 100 eneo moja.
•Litakupa urahisi wa kuihudumia au kuvuna mazao ya Nyuki ikiwemo sumu ya Nyuki (Maana kwenye miti uvunaji ni changanoto).
• Inasaidia kuacha eneo lingine wazi kwa ajili ya malisho.
Asante sana.Unaweza kufuga na pia changamoto za banda nyingine ni kutengeneza makundi au koloni za nyuki.
Lakini faida zake ni za wazi kama;
(1)utunzaji wa mizinga kwa muda mrefu
(2)uvunaji wa mazao nyuki ni rahisi
(3)ugawaji makundi yakikomaa ni rahisi
(4)ukaguzi wa mizinga na ufuatiliaji ni rahisi.
Kwa kuweka nguzo za chuma inawezekana kudhibiti mchwa lakini nguzo za miti au milunda, utadhibiti kwa muda (miaka 2-3) Italiwa tu baadaye.Nashukuru sana.
Nimeambiwa kuwa inawezekana kudhibiti mchwa kwa kupaka grisi kwenye nguzo kwa.maelezo kuwa itawazuia kupanda.
Hili linawezekana?
Nimeandika Makala inayohusu mambo haya kuhusu kugawa soma hapa; Ugawaji Makundi ya NyukiAsante sana.
Kugawa makundi kunafanyikaje?
Naomba maelekezo.
Asante sana.Nimeandika Makala inayohusu mambo haya kuhusu kugawa soma hapa; Ugawaji Makundi ya Nyuki
Banda lankufugia Nyuki linaweza kuwa na changanoto chache ikitegemea na utayarishaji wako.