Ufugaji wa nyuki kwenye banda

Ufugaji wa nyuki kwenye banda

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nataka kufuga nyuki kwenye mizinga y mbao.

Natamani mizinga hiyo iwekwe kwenye banda lilijengwa.

Naomba ushauri na hasa changamoto zake.
 
Banda lankufugia Nyuki linaweza kuwa na changanoto chache ikitegemea na utayarishaji wako.
1. Banda likiwa na nguzo za miti au mbao changanoto yake kubwa ni mchwa/sisimizi.
2. Ikiwa Banda Lina nguzo za chuma changanoto yake hapa inaweza kuwa Sisimizi na siafu hivyo lazima uweke vikinga au viwambo Kwa ajili ya KUWEKA oil kuwadhibiti.

Banda litakupa faida zifuatazo;
•Litakinga mizinga yako na jua na mvua hivyo kuishi muda mrefu.
•Litaiweka mizinga yako pamoja (Ikitegemea uwezo wa Banda) kama ni 50+ au 100 eneo moja.
•Litakupa urahisi wa kuihudumia au kuvuna mazao ya Nyuki ikiwemo sumu ya Nyuki (Maana kwenye miti uvunaji ni changanoto).
• Inasaidia kuacha eneo lingine wazi kwa ajili ya malisho.
 
Attachments

  • Screenshot_20220528-105506~2.png
    Screenshot_20220528-105506~2.png
    149.7 KB · Views: 63
Unaweza kufuga na pia changamoto za banda nyingine ni kutengeneza makundi au koloni za nyuki.
Lakini faida zake ni za wazi kama;
(1)utunzaji wa mizinga kwa muda mrefu
(2)uvunaji wa mazao nyuki ni rahisi
(3)ugawaji makundi yakikomaa ni rahisi
(4)ukaguzi wa mizinga na ufuatiliaji ni rahisi.
 
Attachments

  • IMG_20220528_144447_745.jpg
    IMG_20220528_144447_745.jpg
    829.9 KB · Views: 55
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Banda lankufugia Nyuki linaweza kuwa na changanoto chache ikitegemea na utayarishaji wako.
1. Banda likiwa na nguzo za miti au mbao changanoto yake kubwa ni mchwa/sisimizi.
2. Ikiwa Banda Lina nguzo za chuma changanoto yake hapa inaweza kuwa Sisimizi na siafu hivyo lazima uweke vikinga au viwambo Kwa ajili ya KUWEKA oil kuwadhibiti.

Banda litakupa faida zifuatazo;
•Litakinga mizinga yako na jua na mvua hivyo kuishi muda mrefu.
•Litaiweka mizinga yako pamoja (Ikitegemea uwezo wa Banda) kama ni 50+ au 100 eneo moja.
•Litakupa urahisi wa kuihudumia au kuvuna mazao ya Nyuki ikiwemo sumu ya Nyuki (Maana kwenye miti uvunaji ni changanoto).
• Inasaidia kuacha eneo lingine wazi kwa ajili ya malisho.
Nashukuru sana.
Nimeambiwa kuwa inawezekana kudhibiti mchwa kwa kupaka grisi kwenye nguzo kwa.maelezo kuwa itawazuia kupanda.
Hili linawezekana?
 
Unaweza kufuga na pia changamoto za banda nyingine ni kutengeneza makundi au koloni za nyuki.
Lakini faida zake ni za wazi kama;
(1)utunzaji wa mizinga kwa muda mrefu
(2)uvunaji wa mazao nyuki ni rahisi
(3)ugawaji makundi yakikomaa ni rahisi
(4)ukaguzi wa mizinga na ufuatiliaji ni rahisi.
Asante sana.
Kugawa makundi kunafanyikaje?
Naomba maelekezo.
 
Nashukuru sana.
Nimeambiwa kuwa inawezekana kudhibiti mchwa kwa kupaka grisi kwenye nguzo kwa.maelezo kuwa itawazuia kupanda.
Hili linawezekana?
Kwa kuweka nguzo za chuma inawezekana kudhibiti mchwa lakini nguzo za miti au milunda, utadhibiti kwa muda (miaka 2-3) Italiwa tu baadaye.
 
Back
Top Bottom