maziwa, dagaa, samakiPaka huwa mnawalisha nini ziaid ya nyama?
Maziwa mengi na nyama ya kutosha japo hawa wachawi hawajui kula ,wanadokoa dokoa tuNatamani paka wangu anenepe msaada jamanj nimpe nini kwa sbb anakula chakula kidogoo nadhani ndo ulaji wa paka..