HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Nawapenda sana Paka.
Hasa pale anapokuwa mdogo, namuwekea Maziwa kwenye sahani, jinsi anavyoyalamba.
Pia nilikuwa napenda sana kucheza na Paka, namuingiza vidole mdomoni mwake, anavyong'ata kwa kucheza cheza raha sana, na nikimpalaza vidole vyangu kwenye Ulimi wake, Ulimi wa Paka mzito unasugua kama msasa hivi.
Nilikuwa napenda sana kufuga Paka