Nashukuru kwa kunifahamisha nitarekebishaNamba ya mawasiliano uliyoweka haijakamilika nahitaji tuwasiliane mtaalam
Mawasilano: 0758779170Namba ya mawasiliano uliyoweka haijakamilika nahitaji tuwasiliane mtaalam
Ndio mkuu inawezekanaMkuu mtaalamu wa ufugaji samaki.
Mahali nilipo pana maji chumvi kama ya bahari je naweza kufuga samaria wa maji chumvi?
Uko maeneo gani mkuu?Mkuu mtaalamu wa ufugaji samaki.
Mahali nilipo pana maji chumvi kama ya bahari je naweza kufuga samaria wa maji chumvi?
Nipo DodomaUko maeneo gani mkuu?
Mkuu, samahani. Kwa nini wafugaji wengi wa samaki huvuna na kuuza samaki wakifikia kuanzia gram 300 hadi 500 (nusu kilo). Ni gharama sana kumfuga akafikisha kilo moja? Ipi rahisi kw mfugaji, kumfuga SATO afikishe kilo 1 ndio avunwe au mumvuna akiwa na nusu kilo au below.1. Ukiwa na mtaji wa kati ya milioni 2 hadi milioni 10 ni mtaji wa wastani wa kuanzisha mradi wa ufugaji samaki
2. Kujua ni eneo lenye ukubwa gani linahitajika kwenye ufugaji wa samaki itategemea na idadi ya samaki unaotaka kufuga. Kwa hesabu rahisi kwenye mita moja ya mraba wanakaa samaki 8 hadi 10, kwa mfano kama unataka kufuga samaki 500 unahitaji kuwa na eneo lenye mita za mraba 50 (50m²)
3. Samaki wanakula chakula kulingana na uzito wao, wakiwa wadogo (0g - 50g) wanakula 8% - 10% ya uzito wao, wakikua (50g - 500g) wanatakiwa kula 5% ya uzito wao, kuanzia 500g na kuendelea unawapa 3% ya uzito wao.
Hii kanuni sio rasmi ni kutokana na uzoefu wangu
4. Management, usimamizi wa mradi wa samaki hauna utofauti sana na kuku, unatakiwa ulishe samaki wako mara 3 - 4 kwa siku, unapaswa kubadilisha maji mara tu yanapochafuka na kufanya uangalizi wa karibu ili kujua mapema dalili za hatari mfano samaki kukosa hewa ya kutosha.
Kwa hiyo ratiba yako ya kutoka asubuhi na kurudi usiku ni vigumu sana kufuga samaki na kuwahudumia vizuri samaki
5. Idadi ya samaki 100 ni ndogo sana, uwezi kufanya ufugaji wa samaki kama biashara kwa kufuga samaki 100 at least uanze na samaki 1,000. Kwa wastani kwenye kila kilo moja ya samaki unayozalisha unaweza tengeneza faida ya Tsh 3,000 hadi 4,000
6. Mahitaji ya samaki ni makubwa sana ukilinganisha na uzalishaji, hivyo unaweza kuuzia hapo hapo shambani unapofugia wateja wakaja kununua hapo hapo live fish au ukapeleka soko lolote lililopo jirani.
7. Ikitokea samaki wametosha kuvunwa na umekosa wateka kwa wakati huo, unachotakiwa kufanya ni kupunguza kiasi cha chakula unachowapa kama ulikuwa unawalisha mara 3 kwa siku, punguza hadi mara 1 kwa siku ili kudhibiti matumizi ya chakula, samaki watastop kukua badala yake utamaintain tu uzito wao hadi pale utakapopata soko
Sababu kuu ni mahitaji ya soko wateja wengi wanataka samaki wanaoingia wanne hadi wawili kwenye kilo moja (250g - 500g). Size hii ndio standard ya mahotel, migahawa, wazabuni na hata familia.Mkuu, samahani. Kwa nini wafugaji wengi wa samaki huvuna na kuuza samaki wakifikia kuanzia gram 300 hadi 500 (nusu kilo). Ni gharama sana kumfuga akafikisha kilo moja? Ipi rahisi kw mfugaji, kumfuga SATO afikishe kilo 1 ndio avunwe au mumvuna akiwa na nusu kilo au below.
Umenena vizuri.Sababu kuu ni mahitaji ya soko wateja wengi wanataka samaki wanaoingia wanne hadi wawili kwenye kilo moja (250g - 500g). Size hii ndio standard ya mahotel, migahawa, wazabuni na hata familia.
Sababu nyingine ni kupunguza production cycle badala ya kufuga samaki miezi 9 hadi 12 mfugaji anyona ni bora afige miezi 6 hadi 8 ili awe na short production cycle, kibaishara unapokuwa na mzunguko wa mara kwa mara ndio unajiweka kwenye mazingira mazuri zaidi ya kupata faida kuliko mtu anayevuna mara moja tu kwa mwaka.
Pole sana kwa hiyo changamoto, ningependa kujua ukubwa wa bwawa lako (urefu × upana l × kina) idadi yao na umri wao ili niweze kukushauri vizuri.Samaki wangu wamedumaa, tumepata changamoto ya ukame sana kwenye ukanda wetu mvua zimechelewa, naomba ushauri niwalishe nini angalau kuwaboost kidogo.
Asante