Ufugaji wa Samaki ni Fursa ya Kuimarisha Uchumi Wako

Namba ya mawasiliano uliyoweka haijakamilika nahitaji tuwasiliane mtaalam
 
Mkuu mtaalamu wa ufugaji samaki.
Mahali nilipo pana maji chumvi kama ya bahari je naweza kufuga samaria wa maji chumvi?
 
Mkuu, samahani. Kwa nini wafugaji wengi wa samaki huvuna na kuuza samaki wakifikia kuanzia gram 300 hadi 500 (nusu kilo). Ni gharama sana kumfuga akafikisha kilo moja? Ipi rahisi kw mfugaji, kumfuga SATO afikishe kilo 1 ndio avunwe au mumvuna akiwa na nusu kilo au below.
 
Reactions: Lax
Sababu kuu ni mahitaji ya soko wateja wengi wanataka samaki wanaoingia wanne hadi wawili kwenye kilo moja (250g - 500g). Size hii ndio standard ya mahotel, migahawa, wazabuni na hata familia.

Sababu nyingine ni kupunguza production cycle badala ya kufuga samaki miezi 9 hadi 12 mfugaji anyona ni bora afige miezi 6 hadi 8 ili awe na short production cycle, kibaishara unapokuwa na mzunguko wa mara kwa mara ndio unajiweka kwenye mazingira mazuri zaidi ya kupata faida kuliko mtu anayevuna mara moja tu kwa mwaka.
 
Reactions: Lax
Umenena vizuri.
 
Samaki wangu wamedumaa, tumepata changamoto ya ukame sana kwenye ukanda wetu mvua zimechelewa, naomba ushauri niwalishe nini angalau kuwaboost kidogo.
Asante
 
Samaki wangu wamedumaa, tumepata changamoto ya ukame sana kwenye ukanda wetu mvua zimechelewa, naomba ushauri niwalishe nini angalau kuwaboost kidogo.
Asante
Pole sana kwa hiyo changamoto, ningependa kujua ukubwa wa bwawa lako (urefu × upana l × kina) idadi yao na umri wao ili niweze kukushauri vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…