BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 212
- 250
Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa.
Ikiwa utapata mwongozo wa kitaalamu na utekelezaji sahihi, ufugaji wa samaki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato na kuimarisha uchumi wako.
Ukifuga samaki kwa kuzingatia mwongozo wa mtaalamu unapungoza uwezekano wa kupata hasara, ukifuga samaki kitaalamu unapata faida zifuatazo:
1. Unafuga idadi sahihi ya samaki kulingana na eneo au kiasi cha maji ulichonacho
2. Unafuga mbegu bora za samaki wanaokuwa haraka ndani ya muda mfupi
3. Utalisha chakula bora na kwa kiwango sahihi
Faida ni nyingi sana mwisho wa yote, kujiweka kwenye mazingira ya kupata faida na kufanya mradi kuwa endelevu na wenye tija
Ni muhimu sana kuhusishaa mtaalamu mwenye uzoefu wakati wote wa uendeshaji wa mradi wako iwe ni kwa kumuajili awe sehemu ya team yako au kuchukua ushauri toka kwake mara kwa mara
Ikiwa unajiuliza wapi unaweza kupa mtaalamu wa Ufugaji wa Samaki utakae kuwanae bega kwa bega kuendeha mradi wenye faida, basi nikutoe shaka huyo mtu umempata
Mimi ni mtaalamu mwenye uzoefu wa kusimamia na kuendesha miradi ya ufugaji wa samaki kibiashara, iwe kwa kutumia mabwawa au vizimba. Pia, nina ujuzi wa kusimamia shughuli zingine za shamba kama vile kilimo, ufugaji wa kuku, ng’ombe, na nguruwe.
Huduma Ninazotoa:
1. Uzalishaji wa Mbegu Bora za Samaki, hasa samaki Sato na Kambale.
2. Kufuga samaki toka wakiwa vifaranga hadi kufikia kiwango cha kuuzwa (kwa uzito wa 250g na zaidi) kwa muda wa miezi 4-6.
3. Utengenezaji wa Chakula cha bora cha samaki
4. Kuandika Maandiko ya Miradi: Kama vile business plan na project proposals kwa ajili kwa wanaotaka kuomba mikopo, ufadhili, au kama mwongozo wa kuendeshea mradi.
5. Ushauri kuhusu Ufugaji wa Samaki:Kutoa mwongozo wa mambo yote yanayohusiana na ufugaji wa samaki.
6. Urahisishaji wa upatikanaji wa vifaa vya Ufugaji: Kusaidia kupata vifaa na rasilimali muhimu kwa ufugaji wa samaki na mengine mengi
Ikiwa unahitaji msaada au muongozo wa kuanzisha au ungependa nisimamie mradi wako wa ufugaji wa samaki, wasiliana na mimi moja kwa moja. Nipo tayari kukusaidia kwa kushirikiana na wewe kufanikisha jambo lako
Simu/WhatsApp: 075877970
Karibu sana