Kuna technology ya kutibu maji machafu yaliyotumika jikoni, bafuni, chooni, kiwandani, shambani, bandani nk. Unatumia wetlands (ni majani jamii ya matete nk) yanapandwa kwenye rectangular basins ambazo hazina udongo ( kunawekwa kokoto na mchanga). Maji yanatoka masafi (sio ya kunywa, kupikia au kufulia) ila ni salama kwa samaki au irrigation. Ni elim sio ngumu sana ktk uendeshaji wake na hata gharama za uendeshaji sio nyingi. Labda inagharim kidogo kwenye gharama za ujenzi na zinachukua eneo kubwa kias kuanzia size ya chumba hv kutegemea na maji machafu yanayozalishwa. Nimeweka baadhi ya picha za hiyo system inaitwa constructed wetlands for wastewater treatment. Kuna Dr flan yuko pale UDSM ni mtaalam sana wa hayo mambo