Ufugaji wa Samaki

Ufugaji wa Samaki

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
3,517
Reaction score
1,869
Ndugu wanajamvi kumekucha salama? pole na hekaheka za maisha.
Naomba kujua naweza pata wapi elimu juu ya water recycling kwasababu nataka kuingia kwenye ufugaji wa samaki hapa Dar, kwa kutumia mitambo ya JKT ila nilikuja kugundua kuwa kwa aina ile ya ufugaji inabidi kila siku kumwaga maji taklibani pipa moja kila siku kitu ambacho naona ni gharama, ukizingatia nategemea kutumia maji ya DAWASCO.

Sasa nataka nijue wapi naweza pata training ya water recycling badala ya umwagaji maji wa tenki moja kwa siku yawe treated na kutumika tena kwenye hayo matenki ya samaki.
MSAADA TUTANI NAWASILISHA.
 
Nimeshajikomboa kwa kutokunywa chai ya rangi sasa nataka niachane na nyama nyekundu, kuanzia supu hadi msosi niwe nakula kwa amani kama mnavyoona hapa, napenda ufugaji
IMG_20180402_182750.jpg
IMG_20180402_182810.jpg
 
Kuna technology ya kutibu maji machafu yaliyotumika jikoni, bafuni, chooni, kiwandani, shambani, bandani nk. Unatumia wetlands (ni majani jamii ya matete nk) yanapandwa kwenye rectangular basins ambazo hazina udongo ( kunawekwa kokoto na mchanga). Maji yanatoka masafi (sio ya kunywa, kupikia au kufulia) ila ni salama kwa samaki au irrigation. Ni elim sio ngumu sana ktk uendeshaji wake na hata gharama za uendeshaji sio nyingi. Labda inagharim kidogo kwenye gharama za ujenzi na zinachukua eneo kubwa kias kuanzia size ya chumba hv kutegemea na maji machafu yanayozalishwa. Nimeweka baadhi ya picha za hiyo system inaitwa constructed wetlands for wastewater treatment. Kuna Dr flan yuko pale UDSM ni mtaalam sana wa hayo mambo
 
Attachments

  • KASHWASA CW 1.jpeg
    KASHWASA CW 1.jpeg
    89.2 KB · Views: 52
  • Abattoir 1.jpeg
    Abattoir 1.jpeg
    77.6 KB · Views: 52
Kuna technology ya kutibu maji machafu yaliyotumika jikoni, bafuni, chooni, kiwandani, shambani, bandani nk. Unatumia wetlands (ni majani jamii ya matete nk) yanapandwa kwenye rectangular basins ambazo hazina udongo ( kunawekwa kokoto na mchanga). Maji yanatoka masafi (sio ya kunywa, kupikia au kufulia) ila ni salama kwa samaki au irrigation. Ni elim sio ngumu sana ktk uendeshaji wake na hata gharama za uendeshaji sio nyingi. Labda inagharim kidogo kwenye gharama za ujenzi na zinachukua eneo kubwa kias kuanzia size ya chumba hv kutegemea na maji machafu yanayozalishwa. Nimeweka baadhi ya picha za hiyo system inaitwa constructed wetlands for wastewater treatment. Kuna Dr flan yuko pale UDSM ni mtaalam sana wa hayo mambo
Nakushukuru sana, be blessed!!
 
Back
Top Bottom