Ufukara ni Tatizo Kubwa sana kwa Masupastaa wa Kibongo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni masupataa wachache sana bongo wenye uwezo wa kusema leo nataka nivae hivi na akawa navyo au leo nataka kwenda kiwanja fulani na akawa na uwezo huo au mwakahuu nataka kuendesha gari fulani na akaweza kufanya hivyo huku akauntiikiwa haiyumbi

Ndio maana wengi wanaishia kuwa na skendo za ngono kwakuwa wanahitaji kipato cha ziada ili waweze kwenda sambamba na majina yao

Kibaya zaidi umaarufu wengiwao ni wa kufikirika zaidi kuliko uhalisia, wakishaandikwa marambili tatu kwenye magazeti ya udaku tena kwa mabaya basi hujiona wao ndio wao skendo za kuazimana na kuibiana mavazi vipodozi namanukato pamoja na mapambo mengine ni za kawaida sana kwao
wengi wanapumulia Mashine kwa madeni kwenye maboutique yaliyozagaa kila kona ya mji, saluni nk
kuazimana magari ndio kabisa.

Nawaonea imani mno masupastaa wetu
 
Af wengi shule hakunaa na biashara hawataki,labda sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…