The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Nimesoma profile yake inasema RIP ama kwa hakika Mungu amrehemu.Mleta mada umeshapumzika ila uzi bado unaishi. Duh maisha haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma profile yake inasema RIP ama kwa hakika Mungu amrehemu.Mleta mada umeshapumzika ila uzi bado unaishi. Duh maisha haya.
Naona umeamua kufufua uzi, na kuufanyia ukarabati.Ufumbuzi wa kelele sehemu za starehe ...
Sijafika hilo daraja [emoji23] mimi JR nachangia mada tuNaona umeamua kufufua uzi, na kuufanyia ukarabati.
Si umeona nilichoandika hapo, nimepinga mada yakeNaona umeamua kufufua uzi, na kuufanyia ukarabati.
Wa 2020? [emoji3] ndo naona aiseeNaona umeamua kufufua uzi, na kuufanyia ukarabati.
Unafiki tu ndio husababisha kelele maswala ya maombi ni mtu na Mungu wake sasa vipaza sauti vya nini kwenye nyumba za ibada naunga mkono hoja kuwa ni makelele na usumbufuHii tabia inakera sana, Sasa sijui wanaweka vipaza sauti kwaajiri ya nin.. wajirekebishe kuna watu wengine ni wazee au wagonjwa wanaishi karibu na ayo majengo, mtu mwingine amechoka anahitaji kupumzika lakin fujo tu.. na aya mambo yapo afrika tu sijui tunaipaza saut kubwa uhisi Mungu ndio usikia kwa haraka
Kwa hapo mzani unakuwa umebalance mzani tu, maana mada iliemea upande mmojaSi umeona nilichoandika hapo, nimepinga mada yake
ila humu hata kama Uzi umeanzishwa 2010 we unauchangia tu, hata kama mleta mada hayupo we unauliza tu maswali atayakuta[emoji3]Wa 2020? [emoji3] ndo naona aisee
SahihiKwa hapo mzani unakuwa umebalance mzani tu, maana mada iliemea upande mmoja
Kwa sababu kama yanayofanyika nyumba za ibada yanaweza kuwa kelele basi huko ambako watu wanajitoa akili wakidai wanastarehe, itakuwa ni fujo kabisa.
Hivyo ni vema kuangaliwe kotekote.
SureNa huku masokoni,barabarani na usafiri wa Umma mtupumzishee!
Oooh, ahsante kwa muongozoila humu hata kama Uzi umeanzishwa 2010 we unauchangia tu, hata kama mleta mada hayupo we unauliza tu maswali atayakuta[emoji3]