Ufumbuzi wa kelele nyumba za ibada

Unafiki tu ndio husababisha kelele maswala ya maombi ni mtu na Mungu wake sasa vipaza sauti vya nini kwenye nyumba za ibada naunga mkono hoja kuwa ni makelele na usumbufu
 
Serikali ipo kimya.Aiseee nilienda Arusha hayo makeleleeee ni balaa
 
Na huku masokoni,barabarani na usafiri wa Umma mtupumzishee!
 
Si umeona nilichoandika hapo, nimepinga mada yake
Kwa hapo mzani unakuwa umebalance mzani tu, maana mada iliemea upande mmoja
Kwa sababu kama yanayofanyika nyumba za ibada yanaweza kuwa kelele basi huko ambako watu wanajitoa akili wakidai wanastarehe, itakuwa ni fujo kabisa.

Hivyo ni vema kuangaliwe kotekote.
 
Sahihi
 
Lete muongozo pia kuhusu kelele za bar, speaker za madukani, pikipiki, ndege na magari maana navyo ni kero wengine tupo mbali na nyumba za ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…