Habari wana jf.
Nimepata ufumbuzi wa tatizo la uke kuwa mkavu sana na mwanamke kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Fanya hivi.
Kila siku asubuhi na jioni chukua kijiko kimoja cha asali mbichi ile ambayo haijayeyuka na kuwa nyepesi, na ulambe kwa kumung'unyia kwenye fizi za meno, halafu chukua kiasi kingine kidogo na uweke Chini ya Ulimi kisha iache iyeyukie hapo.
Fanya hivo kwa muda wa siku tano mpaka saba, utanipa matokeo.
Kazi kwako.