Ufumbuzi wa tatizo la ukavu wa uke na maumivu wakati wa tendo la ndoa

Kigwema

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
50
Reaction score
29
Habari wana jf.

Nimepata ufumbuzi wa tatizo la uke kuwa mkavu sana na mwanamke kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Fanya hivi.

Kila siku asubuhi na jioni chukua kijiko kimoja cha asali mbichi ile ambayo haijayeyuka na kuwa nyepesi, na ulambe kwa kumung'unyia kwenye fizi za meno, halafu chukua kiasi kingine kidogo na uweke Chini ya Ulimi kisha iache iyeyukie hapo.

Fanya hivo kwa muda wa siku tano mpaka saba, utanipa matokeo.

Kazi kwako.
 
au kwa sisi wanasayansi tunaowaona nyie matapeli na msio na elimu madhubuti ya tiba na mwili wa binadamu tunasema watu watumie " water based lubricants" km KY Gel wakti wa tendo
 
Huu ni utapeli mkuu.
Tupe connection ya asali chini ya ulimi na uke kukauka.
 
Habari wana jf.

Nimepata ufumbuzi wa tatizo la uke kuwa mkavu sana na mwanamke kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Fanya hivi.

Kila siku asubuhi na jioni chukua kijiko kimoja cha asali mbichi ile ambayo haijayeyuka na kuwa nyepesi, na ulambe kwa kumung'unyia kwenye fizi za meno, halafu chukua kiasi kingine kidogo na uweke Chini ya Ulimi kisha iache iyeyukie hapo.

Fanya hivo kwa muda wa siku tano mpaka saba, utanipa matokeo.

Kazi kwako.

Vipi kuhusu ile dawa ya kutoka kijijini kwenu Wilayani Mbinga bado unayo,na wateja wako wamekupa mrejesho?
 
Back
Top Bottom