Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Wakuu,
Kuna jamaa yangu Mmmoja ni Medical Dr,
katika mazungumzo ya hapa na pale akanipa hii kali.
Kwa wale wanaopenda sana kutumia style za ajabu ajabu katika kula tundi wana less probability ya wenzi wao wa kike kutoshika Mimba.
Sababu:
Jamaa alienda mbali sanaaa kuwa acuse wale wenzangu tunaopenda kuunganisha la kwanza, bila kupumzika kutafuta la pili juu kwa juu au "mumo kwa mumo", alienda mbali sana kusema kuwa ukiwa "unazama unatoka" una disturbu flow ya Sperms kwenda ndani kuchavusha yai na kujikuta nyingi zinatoka na kukaukia kwenye machine (ukitoa machine inakuwa ina layer flan white), pia alinitoa hofu kwa kusema kuwa kama mie ni mmoja wao basi nihakikishe kuwa napiga na la pili likiwa lina nguvu na afya kama ya lile lwa kwanza kitu amabcho acording to yeye ki utabibu ni kama hakipo vile.
Ushauiri wake:
Abstain, mpaka kipindi kilee cha siku za hatar (Kama mnataka kumimbika), muandae fresh mwenzako mapaka awe mbendembende, then ukipiga bao la kwanza na ukimake sure that zote zimeisha kutoka, withdraw na mwambie mwenzako alale chali for atleast 20 minutes.
My take:
Jamaa amaefanikiwa kuni shawishi, ila pia nahitaj input zenu wana jamvi kuwekana sawa katika hili.
Wasalaam