Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Andika free PDF utakipata, mi nikikipakua google free.Sijawahi nunuaa kitabu mtandaoni na Nina library ya kutosha ya pdf.Anyway ntajaribu kuki upload shida nimekiweka Ktk PC hivyo napata kauvivu Fulani ukizingatia pass word ya jf nimeishau hivyo natumia phone tu.Nntawapakalia tu.We need more scientist in TZ, binafsi nimepata vitu vingi jf ntajitahidi labda kesho ntasogea ktk eneo lenye H+ukipata muda kiapuload maana Amazon anataka Dollar kukipata