Ufundi wa Umeme wa magari

Ufundi wa Umeme wa magari

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Habari zenu wakuu,
Naomba Kujua gharama na muda wa "Course" ya elimu ya ufundi wa magari katika chuo cha VETA
au chuo chochote.
Natanguliza shukrani
 
Auto electric
Veta wanafundisha hii course
kwa Mfumo wa kawaida wa unatakiwa usome kwa Levels. Kuanzia level 1 hadi level 3 ambapo itakuchukua miaka mitatu kumaliza kama utasoma bilakufeli. ila unawezasoma level 1 pekee ukaendelea na maisha au ukasoma level 1 na 2 kisha ukapata vyeti na kuendelea na maisha.

pia kuna short course. ambayo unasoma kwa miezi 3. na advance yake ni miezi mitatu.

kwa ushauri wangu kama unataka kuingia kwenye soko la ajira basi soma course ndefu. ila kama unajiajiri basi hata fupi sio mbaya
 
Habari ningeomba kujua chuo chenye kozi hiyo ya ufundi umeme wa magari kipo mkoa gani na kinaitwaje
 
Back
Top Bottom