Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ningeomba kujua chuo chenye kozi hiyo ya ufundi umeme wa magari kipo mkoa gani na kinaitwajeAuto electric
Veta wanafundisha hii course
kwa Mfumo wa kawaida wa unatakiwa usome kwa Levels. Kuanzia level 1 hadi level 3 ambapo itakuchukua miaka mitatu kumaliza kama utasoma bilakufeli. ila unawezasoma level 1 pekee ukaendelea na maisha au ukasoma level 1 na 2 kisha ukapata vyeti na kuendelea na maisha.
pia kuna short course. ambayo unasoma kwa miezi 3. na advance yake ni miezi mitatu.
kwa ushauri wangu kama unataka kuingia kwenye soko la ajira basi soma course ndefu. ila kama unajiajiri basi hata fupi sio mbaya