Nmepoteza muda wangu kusoma huu uzi....Kaaazi kwelikweli, wewe ni beginner lkn unajifanya mtaalamu wa training za forex, maajabu kwelikweli haya
Embu rudi kawaulize hao rafiki zako kwanini hawakufundishwa kutumia indicators. Pia Google uelewe maana ya naked forex Au price action na tofauti kati ya naked forex/price action na trading with indicators.
Wewe dada kwa MajunguHahahahahahahahhahahahahahahahahahahah
Unatrade demo unakuja kufungua uzi hapa
Unamjua 4xlg huyu anapiga mpka pips 10,000/week lakini analoose,
Nenda instagram mche forex queen loss zake utakimbia leo unadonoa donoa unakuja na uz
Naona umekuja kuitangaza kampuni yenu. HongeraShetani yuko kazini, QNET is best
daaahh interestingMkuu Ladder 49 kama unataka kuongeza ujuzi zaidi pitia hii link Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
Hapo ni bure kabisa na jamaa wana materials balaa, tena wanafundisha vizuri sana, hakuna kitu wameficha kuhusu forex. Wanakufundisha mpaka namna ya kuwajua brokers fake.
Mimi pia nimejifunza Forex sana na bado naendelea kuisoma zaidi na zaidi. Sitaki papara ya kuanza ku-trade na real money.
Upo sahihiMkuu Ladder 49 kama unataka kuongeza ujuzi zaidi pitia hii link Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
Hapo ni bure kabisa na jamaa wana materials balaa, tena wanafundisha vizuri sana, hakuna kitu wameficha kuhusu forex. Wanakufundisha mpaka namna ya kuwajua brokers fake.
Mimi pia nimejifunza Forex sana na bado naendelea kuisoma zaidi na zaidi. Sitaki papara ya kuanza ku-trade na real money.
Watu wanapoingia chaka ni hapo pa kujifanya wanataka kuwa maconcord wa naked fx trading! Ukweli ni kwamba hizo screenshot wanazoshare zikiwa naked sio kweli ila wanaweka indicators kwenye pc (tena custom indicators) then wanaexecute trades halafu then same account wanafungua kwenye mt4 ya simu ambayo haioneshi indicators halafu wanarusha kudanganya watu. Forex bila indicators tena custom indicators huwezi kuwa successful mark my words!Kaaazi kwelikweli, wewe ni beginner lkn unajifanya mtaalamu wa training za forex, maajabu kwelikweli haya
Embu rudi kawaulize hao rafiki zako kwanini hawakufundishwa kutumia indicators. Pia Google uelewe maana ya naked forex Au price action na tofauti kati ya naked forex/price action na trading with indicators.
Hao ndio washindani wao wanaoingilia maslahi yao.Sasa dar forex imeingiaje tena hapa?
Hahahaaaa!! Nae huwa anafokea watu, hivyo wanazungumza lugha yake.Watu mnakaa huku kumpinga ontario ili nanyi muanzishe course zenu!! Dah wabongo bwana. Kama kunakasoro kwa Ontario nyie mwambieni ajue na sio kumfokea