Ufundishaji wa forex na siri iliyojificha.

mbona ni vitoto sana katika hizi buznes
 
Ivi hao walimu kwanini wanahangaika kufundisha au kutoza watu ada, kama fx ni utajiri!?
 
Unaanza nishawishi nipige shule ya hii kitu...Pesa tamu Jamani !!
 
daaahh interesting
ila mbona mliwaacha vijana wengi mnoo waweze kuingia kwenye mikono ambayo sisalama
wakati kuna mambo ambayo yapo wazi Hivi nawala haya hitaji laki200000 kuweza kuyajua
Mkuu ukiona mwenzako anaanzisha biashara yake hutakiwi kumuharibia. Lakini sasa hivi baada ya kuona kuna malalamiko mengi basi nimeona niwashtue wale ambao watapenda kujisomea wenyewe.

Tatizo lingine mkuu vijana wengi wa Kitanzania hawana utulivu, mtu anajifunza forex leo, kesho yake anataka aanze kupiga hela kitu ambacho ni kigumu sana. Kiukweli forex ina mambo mengi sana ya kujua. Mimi sijui TMT wanafundishaje, lakini forex siyo lelemama hata kidogo.

Mimi naamini ukitaka kuwa profitable na hii biashara, basi ni lazima itakuchukua muda mrefu sana kuielewa na kui-master vizuri. Siyo chini ya miaka 2 au mwaka na nusu hivi. Hata wale wazoefu wenyewe huko Ulaya na Marekani, pia wakati mwingine huwa wanapata hasara kubwa sana tu. Hii biashara siyo ya kwenda nayo kichwa kichwa, ingawa unaweza ukapiga hela ndefu sana lakini siyo mara zote.
 
KUNAKIPINDI NILITOA UZI HUMU JAMII JUU YAHAWA MA MENTOR NIKATUKANWA SANA nikaitwa HATER ila ukweli mmejionea!!!!!!!!!

Kwa kweli Katika hawa walimu nimekaa kutafuta Hata mmoja wao Apa Tanzania anejua kutrade haswa hawa maarufu nikaona hakuna hata mmoja wao....

Ila kuna kijana anajiita moki.jr instagram anafanya copytrading na kufunisha aiseee ni MOTO kama unataka kujifunza mtatafute nimejaribu week hii yupo vizuri sana i do recommend Them...... oneni FAIDA nilioipata kwa week hii
 
Bro huu ni mtazamo wako mi ni mmoja ambao natrade kwa kutumia price action msaada wangu ni S and R;
trendlines + candlestick pattern+chart patterns na Fibonacci na nimeshatumia indicators kama ma(sma+EMA) Bollinger bands paraboric sar macd na adx aiseeh sikuwa comfortable na nilikuwa naambulia loss hizi indicator mi siwezi tumia
 
free forex signals PIPSKINGDOM
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer https://secure.templerfx.com/main?rid=107946
 
Ukiitwa kwenye Fursa jua wewe ndio fursa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…