DOKEZO Ufungaji holela wa barabara jijini Dar

DOKEZO Ufungaji holela wa barabara jijini Dar

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Jeshi letu la polisis kupitia askari wa usalama wa barabarani wamekua ni chanzo cha usumbufu barabarani.
Eneo la Mbezi Tangi bovu / shule kwa muda mrefu sasa nyakati za asubuhi, polisi wamekuwa wakifunga barabara(service road) kiholela bila vibao au tahadhari yoyote kwa watumiaji wa barabara.

Sijui wanatumia vigezo gani kufunga service road bila kutoa tahadhari yoyote na lengo lao hasa ni nini.

Tunawaomba wahusika waingilie kati. TANROADS watuambie kama service roads hazitakiwi kutumika asubuhi na Polisi watoe tahadhari mapema kama kweli wanalengo la kufunga barabara.

Picha hizi zimepigwa May 18 2023 (06:57 am) Mbezi Beach Tangi bovu lakini hii hali imekua ikiendelea kwa zaidi ya mwezi sasa

1.jpeg
2.jpeg
3.jpeg
 
Back
Top Bottom