Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sasa ufunguo utawasha Vipi gari kama mfumo wa umeme na starter haviko sawa?Wakuu habari?
Gari yangu imepata changamoto; ufunguo unashindwa kuwasha gari (kuruhusu injini kuwaka).
Kwenye dashboard alama ya ufunguo imewekewa mkato; nimeita mafundi kadhaa wameshindwa kuitatua; wamejaribu kuipima lakini hawajaona changamoto.
Kwa wazoefu, nitumie njia gani kutatua hili tatizo?
Pole sana!Wakuu habari?
Gari yangu imepata changamoto; ufunguo unashindwa kuwasha gari (kuruhusu injini kuwaka).
Kwenye dashboard alama ya ufunguo imewekewa mkato; nimeita mafundi kadhaa wameshindwa kuitatua; wamejaribu kuipima lakini hawajaona changamoto.
Kwa wazoefu, nitumie njia gani kutatua hili tatizo?
Walikuja na kipimio chao, wa umeme, pamoja na wa injini; makundi kama matatu, wote hawakufanikiwa. wakachukua rimoti, control panel, na funguo kwenda kupima, lakini hawajafanikiwa.Sasa ufunguo utawasha Vipi gari kama mfumo wa umeme na starter haviko sawa?
Hao uliowaita siyo mafundi huwa wanashinda garage Tu kupiga story.
Gari haitembei, na walichukua funguo, control panel, pamoja na rimoti yake kwa ajili ya programming ikafeli, wakanishauri wapeleke na dashboard, hapo nikakataa kwanza, ili kusijetokea uharibifu.Peleka gari kwa jamaa wanaorogram hizo funguo zinazotumia mtindo wa transmitter na receiver
Ford explorer, wamecheki kwenye mashine bado kupata suluhishoKwanza ni gari aina gani? Alafu funguo yake ina sensor? Na je hiyo sensor ipo alafu gari bora upeleke ikachekiwe kwenye mashine sio kuleta kila fundi watakuharibia kuna vitu vya kuunga unga ila sio hizi gari utaingia shoti utaichukia gari kumbe ni jambo dogo tu
Nilitembea umbali mrefu, ile narudi home, nikazima gari na kushuka, ile narudi kwenye gari na kuliwasha, ndipo likakataa kuwaka na kuniwekea hiyo alama ya mkato kwenye ufunguo, na upande wa meseji ikaandika low oil pressure.Pole sana!
Ita mafundi professionals wafanye pairing ya ufunguo na gari yako. Yaani kuufanya ufunguo na gari viwasiliane ama viongee lugha moja. Kwa namna ulivyoelezea, inaonekana ufunguo na gari haviwasiliani. Sijui umepatwa na nini ikawa hivi, but hiyo changamoto ni ndogo sana.
Kila la kheri.
Gari haitembei, na walichukua funguo, control panel, pamoja na rimoti yake kwa ajili ya programming ikafeli, wakanishauri wapeleke na dashboard, hapo nikakataa kwanza, ili kusijetokea uharibifu.
Nilitembea umbali mrefu, ile narudi home, nikazima gari na kushuka, ile narudi kwenye gari na kuliwasha, ndipo likakataa kuwaka na kuniwekea hiyo alama ya mkato kwenye ufunguo, na upande wa meseji ikaandika low oil pressure.
Changamoto imenikuta ArushaDuh!
Kumbe lishakochokolewa hivyo!
Mzee baba kuna uwezekano key fob imekufa au hiyo ignition switch...
Kama upo Dar kuna jamaa huwa anajitangaza insta anaitwa amur_auto_electronics(sijawahi mjaribu), check naye...
Asante sana kwa ufafanuzi, suluhisho lake ni nini?Hiyo alama ya ufunguo kuwa na mkato ni kwamba keyfob receiver ya kwenye ignition inashindwa kuisoma funguo (key fob haitransmit)...
Keyfob huwa ina kicircuit kidogo huenda IC yake imekufa...
Asante sana kwa ufafanuzi, suluhisho lake ni nini?
Nimeitazama, nataka niijaribu; kwa hiyo nikiweka ufunguo nakanyaga accelerator huku ikiwa Parking?Umeangalia hii youtube, vipi ya kwako haina hiyo emergency slot unachomeka key ?
Hii ipo sehemu gani mkuu?Itakuwa Self inashida.. gonga .. gonga self itawaka...