Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wakuu habari?
Gari yangu imepata changamoto; ufunguo unashindwa kuwasha gari (kuruhusu injini kuwaka).
Kwenye dashboard alama ya ufunguo imewekewa mkato; nimeita mafundi kadhaa wameshindwa kuitatua; wamejaribu kuipima lakini hawajaona changamoto.
Kwa wazoefu, nitumie njia gani kutatua hili tatizo?