Ufunguo wa maendeleo kwa Tanzania

Ufunguo wa maendeleo kwa Tanzania

Joined
Jul 27, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Awali ya yote nitoe pongezi kwa jf kwa kuandaa jukwaa hili mbali na kupata zawadi lakini itatoa nafasi ya watu kutoa mawazo ambayo yanaweza kutumiwa katika MAENDELEO ya nchi.

Dhana ya maendeleo ni haya mabadiko chanya katika hali ya maisha ya wawatu. Nchi yetu inasua kwenye maendeleo kutokana na sababu nyingi lakini kwa mtazamo wangu nitafupisha kwa kutaja sababu kubwa chache pamoja na mapendekezo ya namna ya kufanya ili walau tuweze kupata nuru ya maendeleo yenye tija.
Changamoto kubwa ni kukosa uongozi wenye tija kutosha kutufiki
 
sasa mbona hujamalizia
 
Back
Top Bottom